OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,073
- 114,571
Maajabu hayaishi nchi hii.CCM wameona tamko pekee la kulaani ubaguzi haitoshi,hatimae wamelikana bango na kusema ni bango lililoandaliwa na upinzani kuchochea chuki visiwani.
Bango hilo lililobebwa juu kabisa katika ya maandamano na kupitishwa mbele ya Dr.Shein halikuonekana la wapinzani mpaka pale dunia iliposhangaa.
Pia mbeba bango huyo "wa upinzani" hajatiwa nguvuni mpaka leo.