Ccm baada ya miaka lukuki nini wataielezea jamii?ili waeleweke kwa wananchi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm baada ya miaka lukuki nini wataielezea jamii?ili waeleweke kwa wananchi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, Feb 5, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nikitafuta nikitugani watakifanya kwa kuazimisha miaka yote hii tangu kuzaliwa kwake wawezekujivunia mbele ya macho ya watu?Maana kauli mbiu ya ccm na mwal nyerere ilikuwa ujinga,maradhi,umasikini,Rushwa lakini hivi ndivyo vimewakumbatia wananchi!!CCM wanaona aibu??
   
Loading...