Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Dawa ya wauaji ni moja tu.Maombi.Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Kesho nafunga.Ikifika 27 Aprili utapata majibu