CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

Nsimbinso

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
407
500
Unavojishaua as if una uwezo hata wa kuendesha mtaa achilia mbali familia yako... Mama Samia si mtu wa mapambio na misifa... Pole
Nani kakuambia kuwa hatuna amani na umoja?
  • Hoja ya mwenyekiti wa CDM kuishi madarakani mbn hamuisemi (CDM mna muungu mtu?)
  • Hoja ya mwenyekiti wa NCCR kuhodhi madaraka mbn hamuisemi - hakuna mwenye sifa zaidi yake?
  • Hoja ya mwenyekiti wa CUF kudumu mbn hamuijibu?
  • Hoja ya ACT kumwinua membe bila vikao mbn hamuisemi?

Nawaambia kwa kuwa hamtaki ku-practice demokrasia ndani ya vyama vyenu CCM tunawafundisha. Mkikataa mafunzo Ofisi zenu zinakuwa mabanda ya kufugia kuku.
 
jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,024
2,000
Watu tunataka kurudisha umoja wa kitaifa ulianza kuharibiwa na magufuli na kundi lake la kina Ndugai wewe bado unataka kuendeleza chuki!

Mkituzingua tunaanza tena maombi. Kumbuka maombi ya kwanza yalijibiwa tarehe 17 mwezi huu.Na zamu hii itakuwa kwa ndugai.
Makada wa ccm sio wabunifu wengi vilaza wanawaaminisha viongozi wao kuwa adui number mmoja ni chadema hivyo wanaanza kuporomosha matusi na kejeri na wengine kuteka kuumiza ili wapate vyeo,mambo yamsingi hawana uwezo wa kuyakabiri,kiongozi mpuuzi anaingiza upepo na kuwa teua hao vilaza matokeo yake mabaraza na vikao inakuwa kama shule ya chekechea hanna watu wa kutoa pointi
 
Billions

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,402
2,000
Unavojishaua as if una uwezo hata wa kuendesha mtaa achilia mbali familia yako... Mama Samia si mtu wa mapambio na misifa... Pole
Huyu bila shaka ni mojawapo wa member wa praise team katika kusifu na kuabudu ambapo kwa sasa hawana kazi baada ya wanayemwabudu kutangulia mbela za haki
 
Nsimbinso

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
407
500
Akimaliza kukaa
Huyu bila shaka ni mojawapo wa member wa praise team katika kusifu na kuabudu ambapo kwa sasa hawana kazi baada ya wanayemwabudu kutangulia mbela za haki

Huyu bila shaka ni mojawapo wa member wa praise team katika kusifu na kuabudu ambapo kwa sasa hawana kazi baada ya wanayemwabudu kutangulia mbela za haki
Akimaliza kukaa eda akili zitamrudia
 
mkombengwa

JF-Expert Member
Dec 4, 2011
2,397
2,000
Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.

Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa

- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?

- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?

- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?

- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?

Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.

Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Mmepata wenyeviti wanne kwa kupigiwa kura hewa,kura za NDIO MZEE TUMEKUBALI UWE MWENYEKITINDIO UNAITA DEMOKRASIA?AISEE LEO BUKU SABA HUPATI
 
field marshall1

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
918
1,000

Wewe punda unaongea nini? Ebu ondoa usukuma wako huko...Mfalme wenu hayupo tena, madudu yake yameanza kuibuliwa tena. muwe na aibu ninyi.
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
13,221
2,000
Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.

Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa

- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?

- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?

- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?

- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?

Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.

Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Jah Kaya kashasema jinsi mgombea wenu alivyopatikana 2015, jina alilileta yeye na kwa maamuzi yake akaliweka 5 bora,
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
14,403
2,000
Sahau - nchi iko imara na hakuna muda wa kuwachekea tena
nani kasema anataka kuchekewa?
uzuri siko na kundi lolote wala upande wa mtu yoyote. so usinihuishe kwenye na makundi au siasa yoyote ile. niko mm kama mm mwananchi wa kawaida tu.
pili narudi hivi ww hauna hati miliki na hii nchi.
hii nchi ni ya watanzania wote.
hivyo vitisho vya nyau havisaidii.
huu ni wkt wa kuunganisha watanzania si kuwatenga kwa itikadi za siasa.

and yes You can go to hell ...b.i.a.t.c.h
 
Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
619
1,000
Mmepata wenyeviti wanne kwa kupigiwa kura hewa,kura za NDIO MZEE TUMEKUBALI UWE MWENYEKITINDIO UNAITA DEMOKRASIA?AISEE LEO BUKU SABA HUPATI
Wakati tunakuwa na wenyeviti 4, ninyi mna mwenyekiti mfalme "King" afu nje mnataka demokrasia - anzieni ndani kisha mje huku.

Tutawafundisha, CCM hatuna kinyongo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom