CCM Arusha yamtunuku Tuzo Rais Magufuli, yadai Lema Amekimbia Arusha

Chama Cha Mapinduzi ccm Mkoa wa Arusha kimeridhishwa na utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli katika kipindi cha Miaka Mitatu iliyopita na kuamua kumzawadia Tuzo maalumu ya heshima kama shukrani pekee ya kutekeleza ilani ya chama hicho.

Akiongea katika hafla ya kumpongeza Rais Magufuli iliyofanyika mapema leo katika Makao makuu ya ccm Mkoa wa Arusha na kuwahusisha Viongozi wa Ngazi mbalimbali na wanachama wa ccm kutoka wilaya sita za Mkoa wa Arusha,katibu wa ccm Mkoani Arusha, Musa Matoroka amesema kuwa hatua hiyo ni kutokana na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Magufuli.

Hata hivyo mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Arusha ,Lootha Sanare amesema kuwa jimbo la Arusha lipo wazi baada ya Mbunge wake Godbless Lema kutoonekana kwa muda akiwaaminisha wànaccm hao kuwa amelikimbia jimbo hilo.

Tuzo hiyo imekabidhiwa na Mwenyekiti huyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ili aifikishe pamoja na ujumbe wao kwa rais Magufuli wakimwaminisha kuwa mwaka wa uchaguzi 2020 hana mpinzani.

View attachment 980588View attachment 980589

Sent using Jamii Forums mobile app
Nonsense
 
Baaada ya vyuma kukaza, watu wanajiongeza-hapa kuna watu wamepiga pesa na wenginme wameambulia miayo!
 
Back
Top Bottom