CCM Arusha - yaendelea kuteswa na mzimu wa vifo vya watu SITA

Hapo Vipi

Member
Dec 17, 2013
9
0
Kutoka vyanzo vya habari, jinamizi la ajali ya gari ya Mwenyekiti wa CCM Mkoani Arusha Mheshimiwa Onesmo Nangole, limeingia katika sura mpya.

Mwenyekiti Onesmo Nangole sasa anahaha kubadilisha aina ya BIMA ya gari aliyokuwa nayo kutoka "THIRD PARTY" ili kupata bima aina ya "COMPREHENSIVE" ili gari lake aina ya NOAH lenye usajili T 329 AJW liweze kulipwa.

Habari hizi pia zimethibitishwa na madereva ambao walishaendesha gari hiyo siku za karibuni na pia watu wake wa karibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom