CCM arusha ongereni kuwa chadema nafasi ya naibu meya

Mkya

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
667
94
kitendo cha ccm kuwapa chadema nafasi ya naibu meya ni kitendo chakiungwana sana chadema wana wajumbe kumi na sita ndani ya baraza madiwani wao na wabunge wanaoingia halmashaur

ccm na TLP wana wajumbe kumi na sita kama wangeingia kwenye kura leo basi wangetoka droo na hiyo nafasi ingebakia haina mtu lakini ccm kwa hekima zao na busara wameamua kuipa chadema

kwa umoja huu na m shikamoo huu nadhani ndiyo mwisho wa damu isiyo na hatia kumwagika Arusha
 
TLP wangepiga Chadema ndio maana CCM umekimbia aibu kuu, na pia uchaguzi wa mwaka jana Chadema ilshinda kwenye kura so mwaka huu Wameingia mitini hao CCM ......
 
kitendo cha ccm kuwapa chadema nafasi ya naibu meya ni kitendo chakiungwana sana chadema wana wajumbe kumi na sita ndani ya baraza madiwani wao na wabunge wanaoingia halmashaur

ccm na TLP wana wajumbe kumi na sita kama wangeingia kwenye kura leo basi wangetoka droo na hiyo nafasi ingebakia haina mtu lakini ccm kwa hekima zao na busara wameamua kuipa chadema

kwa umoja huu na m shikamoo huu nadhani ndiyo mwisho wa damu isiyo na hatia kumwagika Arusha

Kwani unadhani Madiwani wote wa CCM wanaikubali CCM Arusha, subirini uchaguzi mkuu ujao mtaona, kuna madiwani walishahama CCM wanasubiri baraza la madiwani livunjwe!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom