CCM against all odds

Firigisi

Member
Feb 13, 2009
91
33
Nguvu ya kijani na manjano

force-nature-21968882.jpg
 
Kuendeleza kwao vita dhidi ya ufisadi na kuwawajibisha mafisadi ni mojawapo ya kuwatumikia wananchi..

Mafisadi ambao baada ya kuhamia chadema wamekuwa sio mafisadi tena?
Yoyote anaitwa fisadi akiwa ccm akiwa ukawa mtakatifu.
Kwa wanaoshtuka wameshagundua hila hizi.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom