CCM acheni kuwaumiza watu! Mtangulizeni Dr. Slaa katika vita ya kuiangamiza CHADEMA

Acha kujidanganya wewe...kina Mrema waliishia wapi
Hakuna mtu wa kukiua chadema hata wakinunuliwa wakina Lissu na Mbowe kwa sababu moja tu chadema imeshakuwa kwenye utamaduni wa maisha ya watanzania walio wengi na ilijengwa kitaasi hata siku mbowe akinunuliwa ajue atatukanwa vya kutosha na watu watamsahau kama dr slaa.

Ogopa sana Ideology uwa inakaa kwenye ubongo na inaenda zaidi kwenye damu. kitu kikishafikia apo kukiua labda ufanye mauaji kwa watu wake ila sio mfumo wanaotumia kununua na kutesa viongozi.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Hakuna mtu wa kukiua chadema hata wakinunuliwa wakina Lissu na Mbowe kwa sababu moja tu chadema imeshakuwa kwenye utamaduni wa maisha ya watanzania walio wengi na ilijengwa kitaasi hata siku mbowe akinunuliwa ajue atatukanwa vya kutosha na watu watamsahau kama dr slaa.

Ogopa sana Ideology uwa inakaa kwenye ubongo na inaenda zaidi kwenye damu. kitu kikishafikia apo kukiua labda ufanye mauaji kwa watu wake ila sio mfumo wanaotumia kununua na kutesa viongozi.
Ila mnajazana ujinga eti CCM ishakufa inabebwa na dola. Kama Chadema mali binafsi ya mtu haiwezi kufa eti kisa ni "ideology". CCM iliyoanzia TAA na AA, ikawa TANU na ASP na leo CCM ndio itakufa?
 
Hijja Madava, Acheni kumuhusisha Dr Slaa na upuuzi. Ndiye mwanasiasa bora wa Karne nje ya Baba wa Taifa, hutaki shauri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kimejaa vibaka tupu
Screenshot_20200326-221346.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ikiangamia binafsi unapata faida gani? Nadhani unatakiwa ukae darasani uujue umuhimu wa chama cha upinzani katika nchi, kuna madhara makubwa sana kuwa na chama kimoja tu katika nchi kwani watajifanyia mambo watakavyo vile kutakuwa hakuna wanaofichua maovu yao.
 
Ama kweli ccm ngoma nzito, mpaka kuachana na siasa na kuanza kutegemea mbinu kama utekaji, SMG, AK-47 nk, kweli hizi sio zama zao.
 
Back
Top Bottom