CCM acheni kuwaumiza watu! Mtangulizeni Dr. Slaa katika vita ya kuiangamiza CHADEMA

Chadema ni kama Liverpool wakifungwa au kuwa matokeo mabaya wanakaa kimya wanaumia kimoyo moyo wakiiibua kitu kipya wanajiunga tena
 
Hii mambo ya kuwaza kuangamiza mawazo ni tatizo lililoibua Corona.
Watu katili Duniani hua ni watu waoga sana kwenye kushindana kwa hoja.
Corona ni matokeo ya watu wachache wabinafsi wanaowaza kuitawala Dunia kiuchumi na kisiasa baada ya kufanikiwa kutawala vinchi vyao.
Baada ya CCM kutawala kwa nusu karne wanajisahau kuwa kizazi kilichopo hakiijui CCM kinafuata Sera na Fedha tu kwenye Chama chochote.
Kuhalalisha uhai wa CCM zaidi ni jambo gumu sana mana wenye chama wengi ni wazee na wapo kujaribu kuwarithisha watoto wao na marafiki zao ili kulinda Mali zao walizopora toka kwenye mashirika ya umma.

CCM hakuna wanachowaza kwa sasa zaidi ya hofu ya kutolewa madarakani utafikiri hicho chama kimeanzishwa na Mungu wakati anaumba dunia kumbe ni chama kama vyama vingine.

Tume huru ya Uchaguzi itatuongezea thamani ya ubinadamu wetu na utashi wetu.
Kukosa tume huru ni kuonyesha ulimwengu jinsi Haki inavyokanyagwa halafu tunamuomba Mungu atutendee mema ili hali tunatendeana dhulma ya wazi na inayohalalishwa kinyume cha Katiba na sheria tulizojiwekea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiweza kutimiza suala LA Katiba ya Wananchi ambayo ndani yake tutaweka mifumo imara ya uchaguzi wa haki,Huru na kuheshimu uamuzi wa wapiga kura nchi hii itapaa kimaendeleo.Watu wake watarudiwa na uhai na furaha.Nchi ya Ahadi.
 
Hofu ya nn Kama wanaamini wanatenda Kweli na sio propaganda kwann wategemee polisi na sio natural laws,
Fafanua polisi wanatumikaje? Maana ukifanya kosa vyombo vya dola lazima vikukamate. Mfano kuna jengwa reli ukiiba nondo polisi wanakukamata.Sasa hapo kuna tatizo?
 
Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya

Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda ni kuiangamiza CHADEMA.

Kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.

My take:
Slaa kwa sasa ni CCM, atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza

Dr slaa hawezi mwili uko ccm roho ipo cdm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imebaki miamba ccm imenunua mizoga isiyo na tija badala ya Kununua wapiga kura wananunua magarasa kama waitara,molel,calist,karanga hadi sasa hakuna chuma chochote kilichoumizwa kimekubali kuusujudia msalaba,
Ushamba mzigo umekuja mjini MKubwa ndo ushindane na waliozaliwa mjini?Huwezi uuwa upinzani Kwa kuufanya adui,wala polisi hawatoweza wasaidia.Ukitaka kuuwa upinzani tatua shida za watz tatua njaa,afya,Kilimo, elimu ndio vimgusavyo mtz na sio ndege, SGR, Dodoma, chato kwann upinzani usiwe imara?
Dr. Slaa, Prof. Safari., Dr. MASHINJI, Prof. Kitila etc. Wewe unamjua Waitara tu! Wapo wengi...
 
Hakuna mtu wa kukiua chadema hata wakinunuliwa wakina Lissu na Mbowe kwa sababu moja tu chadema imeshakuwa kwenye utamaduni wa maisha ya watanzania walio wengi na ilijengwa kitaasi hata siku mbowe akinunuliwa ajue atatukanwa vya kutosha na watu watamsahau kama dr slaa.

Ogopa sana Ideology uwa inakaa kwenye ubongo na inaenda zaidi kwenye damu. kitu kikishafikia apo kukiua labda ufanye mauaji kwa watu wake ila sio mfumo wanaotumia kununua na kutesa viongozi.
Hata DP ya Mtikila bado iko mioyoni mwa watu. Hata ASP ya Z'bar bado iko mioyoni mwa watu. Tatizo ni kwa umuhimu gani?
 
Hakuna mtu wa kukiua chadema hata wakinunuliwa wakina Lissu na Mbowe kwa sababu moja tu chadema imeshakuwa kwenye utamaduni wa maisha ya watanzania walio wengi na ilijengwa kitaasi hata siku mbowe akinunuliwa ajue atatukanwa vya kutosha na watu watamsahau kama dr slaa.

Ogopa sana Ideology uwa inakaa kwenye ubongo na inaenda zaidi kwenye damu. kitu kikishafikia apo kukiua labda ufanye mauaji kwa watu wake ila sio mfumo wanaotumia kununua na kutesa viongozi.
Hata akiondoka nani chadema itabaki daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya

Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda ni kuiangamiza CHADEMA.

Kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.

My take:
Slaa kwa sasa ni CCM, atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza
Kaka

Habari za hapo Kighare. Mwaka 2015 tulipambana sana kumng'oa Maghembe lkn mambo yalikwama.

Rays naye kaamua kurudi CCCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya

Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda ni kuiangamiza CHADEMA.

Kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.

My take:
Slaa kwa sasa ni CCM, atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza
Hiyo chadema ina watu wangapi hapo juu wanaoweza kuongoza nchi?wana uwezo upi unaouona wewe wa kusema chama kimejijenga pakubwa?hayo ni maneno maneno tu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom