Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.
Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lissu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.
Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?
Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?
Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?
CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?