Uchaguzi 2020 CCM acheni kutisha wamiliki wa shule/vyuo binafsi. Eti taasisi zao zitafuatiliwa Lissu akipata kura nyingi

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,569
50,393
Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.

Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lissu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.

Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?

Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?

Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?

CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
 
Hawajawatisha wamiliki wa vyuo na shule binafsi tu, wamewatisha hadi ITV saivi kwenye taarifa ya habari ya sa mbili usiku hawaoneshi mikutano ya Lissu jinsi anavyofunika huko.

Tukisema CCM haistahili tena kuongoza hii nchi tunamaanisha kweli, kama tumefikia hatua hii kwenye nchi tuliyopata Uhuru miaka karibu 59 iliyopita na tunafanyiana hivi, hiki ni kielelezo tosha kuwa by hooks or crooks, CCM lazima watoke madarakani mwaka huu
 
Badala ya kupambana na shida za watz eti wanapambana kuuwa upinzani kumbe jibu wamelipata. Wawatumie mapolisi wapige mabomu mioyo ya watz ili iipende ccm.

Ukisomesha watu namba jiandae kuzisoma kura zao. Tukirudia kosa Tena tumekwiishaa tutalimia kucha atohitaji Tena kura zetu, atatumaliza, furaha yake ni kuona machozi ya watz. Kwake visasi ni sawa na kunywa pepsi
 
Bila kuweka source iliyo na habari kamili..
Mleta mada nitaendelea kukuona Mhuni tu.
 
Kwa Hali ilivyo no way kura apewe lissu,liwalo na liwe.tumetishiwa tangu mwaka 1977 Hadi leo.
Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.

Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lisu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.

Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?

Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?

Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?

CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
 
Huo ni uwongo wa Chadema mwisho wao ni October

Kuna watu wameshashindwa wanachofanya ni kuandaa vidumu vya petrol, visu na mawe

Waambie vijana wako wakapige kura warudi nyumbani kufuatilia matokeo ili hao waliojiandaa wabaki wenyewe huko mabarabarani
 
MUMEANZA KUWEWESEKA MAPEMA. TUTAWAGARAGAZA HAPO KESHO KUTWA NYINYI NA MABEBERU WENU.
 
Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.

Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lisu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.

Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?

Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?

Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?

CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
Sasa hivi mtu yeyote hata mwenye jezi ya yanga akiongea kitu dhidi ya upinzani bavicha wanaogopa na kuja kufungua uzi...
 
Hahah Watanzania tunajambo letu jumatano

Tunahasira na msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Kuna watu wameshashindwa wanachofanya ni kuandaa vidumu vya petrol, visu na mawe

Waambie vijana wako wakapige kura warudi nyumbani kufuatilia matokeo ili hao waliojiandaa wabaki wenyewe huko mabarabarani
 
Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.

Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lisu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.

Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?

Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?

Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?

CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
Hata kutuma jina TUNDU au LISSU kwa voda au Airtel haiendi
 
Hahah Watanzania tunajambo letu jumatano

Tunahasira na msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji

Wanapambana kila kona kuhakikisha vibaraka wanashinda kwa kisingizio cha uchaguzi
Hii ni vita ya kiuchumi na Tanzania watashinda
 
Back
Top Bottom