Fasta fasta
JF-Expert Member
- Feb 15, 2011
- 1,126
- 725
Habari wadau,
CCM inasema Katiba mpya sio kipao mbele chao kwa awamu hii, lakini nikiangalia najiuliza kwanini wanaiogopa katiba mpya wakati ni mustakali wa taifa letu?
Tumwombe Rais Mama yetu iundwe tume huru kila wilaya yenye mchanganyiko wa vyama vyote, hata kwa siku tatu waingie mitaani watuletee maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya.
Hata kama hakuna posho watu watalifanyia kazi. Labda serikali iwajibike kwenye usafiri na usalama wa hawa watu wanaochukua maoni. Acheni kujificha kwenye katiba ya zamani. Katiba mpya inaweza ikawa na uwanja mpya wa mapalbano kwa maisha ya leo. Vijana wa Kitanzania mpoo!
Vijana wa CCM amkeni mnakojiingiza na hii Katiba ya zamani mtakuja kujuta. Mtawasafishia wenzenu njia lakini nyinyi sijui Nani atakuja kuwasafishia. Angalieni kesho usiangalie la Jana
Amkeni amkeni nawaambia amkeni, acheni utundu.