Uchaguzi 2020 CCM acheni kujipa Moyo, CHADEMA walijiandaa na Uchaguzi muda mrefu. Siri hii hapa...

Huku niliko hata mgombea Ubunge CCM hajulikani na alijaribu kampeni akashindwa vibaya. Yule mweupe eti akienda kuomba atapewa. #BlackWomenMatters wana jambo leo 28 October.
 
Kwa hakika ni wanaccm wachache sana wanaojua kua CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia msingi, matawi hadi taifa. Zoezi hili lilifanikiwa 100%. CCM wengi hasa viongozi wake hawakujua lolote kuhusu hili na wala hawakujua kua hii operation iliongeza wanachama wengi na records za kila mkoa zipo...
Izi thread zmetosha sasa,kushinda hamshindi msitusumbue na thread zenu sasa
 
Kila Jambo utokea kwa sababu maalumu kinamba, mpangilio wa majina ya ugombea uraisi ni unabii ya kwamba wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza
 
Kha,,,we unasema nini,mpaka sasa CCM anamajimbo mangapi?dalili ya mvua ni ,,,!!
mpaka sasa Chadema ndo chama kinachoongoza kwa malalamiko,kama wanauhakika kwanini wanalalamika kama dif ya gari iliyochoka.
 
Nimeona meko kakonda kama ngonda. Fukuza polex2 uchawi haufui dafu kwa mteule aliyeshinda kifo kwa malengo
Anapambana na wakati,wale wazee wa simiyu gamboshi waliotamba atakaempana nae atakufa wapo wapi waokoe jahazi.

Anga likikutaa ndumba zinaexpire
 
Kwa hakika ni wanaccm wachache sana wanaojua kua CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia msingi, matawi hadi taifa. Zoezi hili lilifanikiwa 100%. CCM wengi hasa viongozi wake hawakujua lolote kuhusu hili na wala hawakujua kua hii operation iliongeza wanachama wengi na records za kila mkoa zipo..
Mkuu, ungeweka na hiyo idadi ya wanachama waliohakikiwa ili tulinganishe pia na za upande wa pili tupate uhalisia!!!!
 
Sawa. Tupe data kwani nimemsikia Komredi Polepole akibainisha kuwa CCM wana MTAJI wa kura za wanachama wao 17,000,000. CHADEMA, kwa maelezo yako, waan MSINGI wa wapiga kura/wanachma wangapi? Lete DATA tuzione na kuzijadili hapa!
 
CHADEMA NI KAMA MANGE KIMAMBI TU WAKIONGOZWA NA KIGOGO..UKUTE WE MWENYEWE HAPO HIYO KADI HUJALIPIA....KAMA WANACHAMA MILLION 1 TU WANGEKUA WAMLIPIA KADI ZAO MAANA YAKE WANGEKUA WASHAKUSANYA ZAIDI YA BILLION 1 KWA BUKU BUKU...SASA KULIKUA NA UMUHIMU GANI KUPITISHA BAKULII
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze Kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu Chadema walikua wakihamasisha watu wasijitokeze Mbaka ipatikane katiba mpya, Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa wata lalamika wameibiwa kura
 
Back
Top Bottom