CCM acheni kufanya biashara ya elimu, nchi hii ni yetu wote

Chama cha Mapinduzi Manyara kimeshauri CCM nchi mzima ianzishe biashara ya shule za Jumuiya ya Wazazi! Elimu haitakiwi kufanywa biashara tena na chama kilichopo madarakani, taswira inayoonekana ni kuwa vyama vitakuwa vinanyang'anya ushindi wa uchaguzi mkuu ili viweze kufanya biashara ya elimu! Na huenda ndicho kilichofanyika uchaguzi uliopita.
Inashangaza! Ina maana hujui Jumuia ya wazazi ina shule za sekondari maeneo mbalimbali ya nchi tangu enzi za TANU?
 
matabaka hayakosi hata mbinguni yako makelabi na maserafi hawawezi kuwa sawa na malaika wengine.
House boy hawezi lalia kitanda chako hata km haupo mwaka mzima labda aibie ibie.

Kikubwa cha msingi na cha muhimu ni Elimu..... Serikali itoe Elimu bora kwa kila mtoto wa kitanzania.

Mambo mengine ya matabaka kama yale ya kula pizzas mashuleni wakati wengine wanakula walimaharage ni matabaka yasiyo na tija
 
Serikali itatoaje elimu bora wakati wahusika wa kuhakikisha ubora huo wanazo shule zao!
 
A126FAC7-B4EF-4F08-87C0-592B6CF737E0.jpeg
 
Back
Top Bottom