CCM acheni kudanganya na kutisha wananchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM acheni kudanganya na kutisha wananchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VIKWAZO, May 15, 2011.

 1. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jana baada ya NAPE kushushiwa kombora na Mpendazoe kwamba yeye pia alikuwa mwanzilishi wa chama cha CCJ,wahandishi wa habari walipojaribu kujua upande wa pili unasemaje ilikuwa hivi
  (Nape ambaye hakusema lolote kama kombora la Mpendazoe ni la kweli aliwageuzia kibao Chadema akisema, "Pamoja na hayoyote, waache (Chadema) kubaka demokrasia."

  Alifafanua akisema "Watanzania walipiga kura kuichagua CCM iwaongoze kwa miaka mitano ijayo, sasa wanaposema tutaandamana nchi nzima ili serikali iondoke kabla ya muda huo, huku ni kubaka demokrasia na ni uhaini.")
  nape anapashwa kujua kwamba

  1. wanaoandamana ni watanzania kupinga serikali ya tanzania na hatumii siraha zote
  2. Nape awe makini sana anaongea kama Gaddafi kwa kuwaita walibya magaidi walipoanza anza maandamano
  1. Mpaka sasa Nape ameshaizika CCM mikoa ya kaskazini kwa kuwaita wao ni chadema na hiyo hasira hataiona sio muda mrefu
  2. Nape kasome upya nini maana ya uhaini
  3. ninachojua mimi CCM (serikali) ni wahujumu uchumi kwa kuuza nyumba za watumishi na sasa wanaishi mahotelini kwa ghalama kubwa
  4. Mwisho kama kweli CCM walichaguliwa na wananchi kuongoza nchi yeye anaogopa maandamano kwa nini? kama kweli CCM walishinda uchaguzi ina maana wanaushawishi mkubwa katika jamii kuliko chadema, lakini kama walichakachua ndio maanake sasa waielewa kwa wao kubaka democrasia
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Uongozi unahitaji IQ yako iwe kubwa kufikiri, kuchanganua mambo na kuamua majambozi. Hebu tuangalie kati ya hao wafuatao nani mwenye IQ kubwa? Nyerere, Mwinyi, Malechela, Salim Hamed Salim, Karume Amani, Mkapa, Kikwete, Kolimba, Mangula, Makamba, Sitta, Makinda. Changanua IQ za hawa watu na ndo utagundua tatizo liko wapi.
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo red alikuwa na umakini, IQ na utu, na huyo black alikuwa makini kidogo wengine hapo hakuna kitu,
  naomba nijibu pia kwamba kikwete ni zaidi ya wamwisho hafai hata kuwa kwenye hiyo list, tulichagua sura


   
 4. p

  plawala JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu tumeingia gharama kubwa sana kuchagua sura badala ya uwezo,napendekeza kuwe na utaratibu wa kuwapima uwezo wa viongozi kama rais baada ya kupitishwa na chama chake kama anaweza kushika hicho kibarua
  miaka minne na nusu ijayo tutasota sana
   
 5. O

  Omr JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nape amesema hayo kutokana na maneno ya wanasiasa njaa wenu, Jaribuni kupindua nchi halafu ndio mkione cha moto. Nyie mnafikiri hii ni misri? CCM imeshinda uchaguzi na kuna watanzania wengi tu wanao penda CCM, sasa kama nyie zile kelele za mbeya ndio zinawadanganya basi jaribuni na mtakiona cha moto.
  Unajua tanzania pia ina watu wenye akili zao na wao ndio wapiga kura,labda CDM wangekuja na sera za maana wangepata maendeleo sio kuendekeza majobless/wazee wa msuba wa mikoani.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  hAMUWEZI TENA KUDANGANYA WATU KWA SASA!..IAM AFRAID ITS TOO LATE!
  MBONA MLISHATISHA SANA KUMPITIA WASSIRA KWENYE TV, LAKINI bado WATANZANIA wanadai Demokrasia kwa maandamano?
  Sauti zenu zimefikia mwisho, mkizidi mtavuja damu!
  REST IN PEACE MY OLD FRIEND CCM


  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
  [​IMG]


   
 7. O

  Omr JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CDM bado ni cha mtoto, nyie wote mtarudi kuiabudu CCM,
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Omr kama wewe unaiabudu ccm si kila mtu ataiabudu hiyo ccm, pole kwa kuwa mtumwa wa ccm. Hata iweje ccm ni dude linalo elekea kufariki sasa likifa sijui ndugu yangu utaabudu nini?
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yetu macho wallahi!
   
 10. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wewe piga kelele na huyo NAPE najua ametoa hiyo kauli kwa lengo la kutisha watu kwamba huo ni uhaini ili kuinyima SUPPORT chadema lakini watanzania wa leo wameshajua vitisho kama hivi, na ndio maana maandamano yamejaa watu, kama huu ni uhaini kwenu sio tatizo hata MUBARAK watu walipoanza kuandamana alisema kama wakiishiwa mikate wasema hatawapelekea mingine lakini leo yeye ndiye yuko kwenye shida kubwa na familia yake, kwa taarifa yako jana mkewe kapata heart attack kwa kuchungulwa kwa mambo ya ufisadi
  bongo sio mbali haya yote yatatokea na watu mtaona aibu.
  Nape kama anajua huo ni uhaini anawachelewesha nini chadema kwa kumwambia bosi wake kikwete?
  yeye hafanye siasa sio kutisha watanzania waliochoka na uchafu wa ccm


   
 11. e

  ebrah JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmmh, umefikiri kabla hujasema? and unajua tunapoongelea umasikini katika hoja za CHADEMA tunamaanisha nini? tunamaanisha hasa hao jobless, wazee, wajane, yatima na wote ambao CCm mnawadharau na kuwamwagia maji machafu na magari mliyonunua kwa kuwakata kodi wnaponunua chochote hadi sukari. ( unajua hata wakoloni walikuwa wanahuruma walikuwa wanawakata kodi watu wazima tu, na ni wale tu wenye nguvu) lakini CCM na mafisadi wake kodi kuania watoto wachanga, yatima, viwete nahata wazee? duuu! ndomana chadema inawakusanya wajitetee wote kwani hakuna anayewakumbuaka.
   
 12. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wengi wa watu kama hawa ni wale walirushiwa fupi na mafisadi

   
 13. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Tanzania ina watu wenye akili lakini sio kama wewe bogus.Hivi unatathmini vp kuhusu hili:
  ┬ĽKtk taarifa ya habari Itv wametangaza habari moja kuwa"TBL yatoa msaada wa kukarabati jengo la wazazi ktk hospitali ya Mwananyamala ambalo tangu lianze kutumika mwaka 1975 halijawahi kukarabatiwa kbs"Sasa wewe Omr endelea kukenua meno
   
 14. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  kwakua wewe unaiabudu hiyo CCM unafikiria wote wanafikra mgando kama zako.
  wake up my friend CDM ndo mkombozi wa kweli.
  CDM inatesa Tanzania nzima wamebaki wanafki na washabiki wachache kama wewe na wenzako.
   
Loading...