Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,438
Duh!!Hii ni kweli kabisa!!
Na hizo mbino, mbunu no mbuni duuh! MBINU nazo zinaelekea kufel.Hivi ndivyo naweza kusema kuhusu chama hiki cha kijani ambacho,kwa matendo yake, kinaonekana kukosa maarifa na sasa kinacheza tu muzik unaopigwa na devil,muziki ambao,japo wao wanaufurahia,lakini mwisho wa siku utapelekea anguko lao.
Midundo inayopigwa na devil na wanayoonekana kuifurahia na inayoweza kuja kuwaangusha na hii:
1.Kununua mamluki wakiamini ndio chama chao kitakubalika
2.Kunyanyasa wenye mawzo tofauti na wao
3.Kuwapa kisogo watumishi
4.Kutotimiza ahadi zao kama ile ya kutoa mshiko kwa kila kijiji
5.Kujali vitu kuliko watu
6.Poor handling ya covid-19
7.Kuziba watu midomo
8.Kuminya uhuru wa watu
9.Kukosekana kwa checks and balance
10.Shughuli za Mjengoni kufanyika gizani.
11.Kubambikia watu makesi
12.Kuharibu mahusiano na wanaowasaidia na sasa hata majirani zao
13.Kutokuwa wakweli.
14.Kupora na kuvuruga chaguzi
15.Kunyanyasa na kutesa watu,n.k.
Baada ya hii midundo wanayoifurahia,kinachofuata ni anguko lao.
Devil,keep on playing the music for them to continue dancing till it is late into the night.
Tena safari hii hakuna mafuriko yale yaliyoletwa na mamvi.Bwashee jiandae kisaikolojia utaumia sana baada ya oktoba sijui utaficha wapi sura yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walirudisha mkuu, nadhani wao wenyewe wamegundua igizo lao limekosa mtazamajiHivi jana walirudisha posho wale wabunge ?
Haya bhanaWell mbinu yangu haitakuwa ya Manunuzi ila na sina Polisi wa kunibeba ila Fungueni mikutano ya siasa ni hicho tu ndio ninachokitaka