CCM ƴa JPM, Musiba, Lusinde na Musukuma ni salama kwa Watanzania!!?

RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
963
1,927
Habari wana JF!

Chama cha siasa ni itikadi ya ushawishi kwa wananchi ili kiweze kuungwa mkono na kupewa uongozi wa nchi kwa njia za kidemokrasia!

Chama cha Mapinduzi kilitarajiwa kuwa kisima cha maarifa, fikra na hoja za kujenga taifa la watu wamoja na waliostaarabika!

Badala yake CCM imegeuka kuwa genge la watu wa kulindwa kwa mtutu wa bunduki kama ilivyonukuliwa ƙwa mwenyekiti wake akijinadi kuwa majeshi yapo kwa maslahi mapana ya CCM!

Maneno ya RPC Arusha kuwa wana CCM hawana sababu ya kulialia kwa kuwa wao ni dola yalikuwa si ƴa bahati mbaya, ndiyo maana walisikika na kuonekana wakishangilia kauli ile, wakisahau kuwa kutegemea majeshi ni kujinyima fursa ya kujielimisha ili uwe na maarifa ya kushawishi watu kwa hoja na si kwa mabavu!

Chama kinapobakiza wapiga kelele kama Musiba, Lusinde na Musukuma, wakijinadi kuwa ni watetezi wa mwenyekiti wa chama chao, ujue chama hicho kimeshakufa! Kwani mwenyekiti wao amegeuka kinɗa la ndege linaloogopa kunƴakuliwa na mwewe!?

CCM ya JPM imejaa hofu, haina sera wala itikadi. Haina maarifa wala fikra! Inaona maadui kila mahali! Vitisho na uƙatili ndiyo mbinu pekee iliyobaki kulazimisha watu wakiunge mkono!

CCM ya JPM, Musiba, Lusinde na Musukuma si salama tena! Iachwe ife ili Watanzania wapone!
 
hata kama CCM ni dhaifu lakini nakuhahakishia imani ya watanzania wa kizazi hiki ni ndogo sana sana kwa sababu hiki ni kizazi kilichoshuhudia kituko kikubwa sana cha upinzani hasa katika kutetea ubeberu na unyonyaji na ni kizazi kinachoshuhudia mapambano ya CCM dhidi ya unyonyaji na ubeberu.

kizazi hiki kikiisha ndio kitazaliwa kizazi kipya ambacho hakitajua kuna upinzani kituko uliwahi kuwepo Tanzania.
 
Ccm ni chama kikongwe usitegeme utatokea mpasuko hasirani abadan
 
Sio mpasuko, kwa ukongwe wake, ni anguko kabisa sasa.
Hamna anguko lolote

Anguko kwani Kinana au Nape ndio ccm? Kwa taarifa yako ccm haina ombwe la viongozi ingekuwa upinzani sawa ungesema kuna anguko maana wenye busara ni wachache.
 
hata kama CCM ni dhaifu lakini nakuhahakishia imani ya watanzania wa kizazi hiki ni ndogo sana sana kwa sababu hiki ni kizazi kilichoshuhudia kituko kikubwa sana cha upinzani hasa katika kutetea ubeberu na unyonyaji na ni kizazi kinachoshuhudia mapambano ya CCM dhidi ya unyonyaji na ubeberu.

kizazi hiki kikiisha ndio kitazaliwa kizazi kipya ambacho hakitajua kuna upinzani kituko uliwahi kuwepo Tanzania.
Mkuu umerogwa ? kizazi kipi unachozungumzia kilichoona wapinzani wakitetee wanatuchangia bajeti na kutupatia misaada ? na kizazi kipi unachozungumzia wamekishuhudia CCM wakipambana na wanatupatia misaada na kutuchangia bajeti ? Wazungu wakitupatia msaada na kutuchangia tunawaita marafiki wema Ila wakitushauri cha kufanya ili tuweze kujitegemea tunawaita Mabeberu.

Wachina wakituchangia nabkutupatia msaada tunasema marafiki wa kweli Ila tukichukua 10% na kuingia nao mkataba kama bagamoyo port tunawaitavwanyonyaji.
Swali la msingi kuanzia kwa A.Kinana adi kwa A. Happy ndo vizazi walioshuhudia Hayo uliyoyasema au kuna kizazi flani umewasahau kuwataja ?
 
Habari wana JF!

Chama cha siasa ni itikadi ya ushawishi kwa wananchi ili kiweze kuungwa mkono na kupewa uongozi wa nchi kwa njia za kidemokrasia!

Chama cha Mapinduzi kilitarajiwa kuwa kisima cha maarifa, fikra na hoja za kujenga taifa la watu wamoja na waliostaarabika!

Badala yake CCM imegeuka kuwa genge la watu wa kulindwa kwa mtutu wa bunduki kama ilivyonukuliwa ƙwa mwenyekiti wake akijinadi kuwa majeshi yapo kwa maslahi mapana ya CCM!

Maneno ya RPC Arusha kuwa wana CCM hawana sababu ya kulialia kwa kuwa wao ni dola yalikuwa si ƴa bahati mbaya, ndiyo maana walisikika na kuonekana wakishangilia kauli ile, wakisahau kuwa kutegemea majeshi ni kujinyima fursa ya kujielimisha ili uwe na maarifa ya kushawishi watu kwa hoja na si kwa mabavu!

Chama kinapobakiza wapiga kelele kama Musiba, Lusinde na Musukuma, wakijinadi kuwa ni watetezi wa mwenyekiti wa chama chao, ujue chama hicho kimeshakufa! Kwani mwenyekiti wao amegeuka kinɗa la ndege linaloogopa kunƴakuliwa na mwewe!?

CCM ya JPM imejaa hofu, haina sera wala itikadi. Haina maarifa wala fikra! Inaona maadui kila mahali! Vitisho na uƙatili ndiyo mbinu pekee iliyobaki kulazimisha watu wakiunge mkono!

CCM ya JPM, Musiba, Lusinde na Musukuma si salama tena! Iachwe ife ili Watanzania wapone!
bashe naye kaungana nao,
 
hata kama CCM ni dhaifu lakini nakuhahakishia imani ya watanzania wa kizazi hiki ni ndogo sana sana kwa sababu hiki ni kizazi kilichoshuhudia kituko kikubwa sana cha upinzani hasa katika kutetea ubeberu na unyonyaji na ni kizazi kinachoshuhudia mapambano ya CCM dhidi ya unyonyaji na ubeberu.

kizazi hiki kikiisha ndio kitazaliwa kizazi kipya ambacho hakitajua kuna upinzani kituko uliwahi kuwepo Tanzania.
Ndiyo maana nimesema akili zenu mmekabidhi mitutu ya magobore mumeacha kujielisha! Maneno yako ni ya kulaghai wajinga!
 
hata kama CCM ni dhaifu lakini nakuhahakishia imani ya watanzania wa kizazi hiki ni ndogo sana sana kwa sababu hiki ni kizazi kilichoshuhudia kituko kikubwa sana cha upinzani hasa katika kutetea ubeberu na unyonyaji na ni kizazi kinachoshuhudia mapambano ya CCM dhidi ya unyonyaji na ubeberu.

kizazi hiki kikiisha ndio kitazaliwa kizazi kipya ambacho hakitajua kuna upinzani kituko uliwahi kuwepo Tanzania.
Inaewezekana Wewe ndo kituko cha karne
 
Back
Top Bottom