Uchaguzi 2020 CCM 2020: Mambo yazidi kunoga, kipyenga chapulizwa rasmi

Pwani hamjawahi kumiliki identity ya sura kaka watakuwa wanakutani kwahiyo usijifiche katika utani wenu.. Ubaguzi wa kikabila hautakiwi full stop


Haujui chochote kuhusu Pwani/ Kusini kaishi kidogo tu Pwani mpaka Kusini utaelewa, au uliza waliowahi kuishi huko!
 
Huu ndio upinzani tulionao Tanzania. Badala ya kutumia nguvu kubwa kuimarisha vyama vyao wanabaki na siasa za matukio
 
ccm michezo yao inafurahisha sana

Ni kama ule mchezo wa kujificha wa utoton , hafu wa mwisho anakuja kubutua mpira


Yaani so childish
 
Ndio maana CCM itaongoza miaka mingi mno! Mnaletewa mtu ili ageuke topic na kusahau focus zenu alafu mwisho hana impact yoyote. Jifunzeni kujitenga na mivurugano ya CCM maana inawatoa kwenye mstari tu. Tukutane after 2020 ndio mtaelewa kama mlivyokuwa wabishi wakati EL anajiunga Chadema na sasa mmeelewa.
 
Huu upepo wa Membe utaisha soon na mtakuwa mmesahau mambo kama Korosho, data za Uchumi, yanayojiri Bungeni nk Wtz kuchengwa ni rahisi sana.
Yote haya kayataka Jiwe na roho yake ya korosho/mbaya, tamaa yake ya kuzitaka pesa za wanyonge wa korosho, imemletea laana kubwa na kumuondolea thamani mbele ya watu wa kanda ya pwani na kusini. Mvua hizi watu wananjaa kweli na korosho zao zinaoza magharani. #MembeRais2020
 
Back
Top Bottom