Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,638
- 218,071
maneno matupu hayavunji mfupa
Huu upepo utaishia wapi naona ni mapema sana, au ndo yale matukio mnayotutengenezea tusahau masuala ya msingi ya kitaifa
Safi sana wamtoe tu huyu mshamba na limbukeni
Unawaza uchafu tuBahati mbaya ameolewa. Ningeomba tamu tu kuliko kusoma huo utumbo kifuani kwake
Tatizo anapenda sifa na ubabe kama wali na jogoo wa kienyejiKuna mtu hataki kusikia hilo jina, nadhani hata maembe hali tena.
ubaguzi hauna nafasi hapa mkuu
Huyo mshamba na limbukeni wenu anatuharibia nchi kwa kutuletea ukanda na ukabilaHalafu sura yake KLM tupu, lkn Kanda ya Ziwa ndo mpango mzima, MZ, KG, TB, Katavi, RK, KGM mpaka sehemu ya SGD ni Magu tu!
Huyo mshamba na limbukeni wenu anatuharibia nchi kwa kutuletea ukanda na ukabila
Alisukumizwa ndani na wajanjaKama ungekuwa wewe mjanja basi ungekuwa Raisi wa JMTZ leo hii, iweje mshamba kawashinda wajanja?
Toto zuri hili maamaee. Aiseee chalii yangu Erythrocyte jina la huyo demu anapoishi na contacts zake tafadhali.
Dont you know that the married pousies are the sweetest of all?Bahati mbaya ameolewa. Ningeomba tamu tu kuliko kusoma huo utumbo kifuani kwake
ATU KUJABHANA KANG NALOLIHalafu sura yake KLM tupu, lkn Kanda ya Ziwa ndo mpango mzima, MZ, KG, TB, Katavi, RK, KGM mpaka sehemu ya SGD ni Magu tu!
Baada ya Mkapa Taifa letu halijawahi tena kuwa na viongozi wanaoweza kujieleza, hasa kuelezea wanachokifanya.
Nakumbuka kuna siku moja pale dodoma, Com walikuwa wanasheherekea moja ya annivesaries zao, Rais Kikwete akawaambia wanaccm wasiwe wanyonge, watembee vifua mbele kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya nne.
Siku hiyo yeye mwenyewe kikwete hakuweza kuelezea hayo mafanikio ni yepi?
Magufuri nae hawezi, yaani yuko bizeeeee lakini hawezi kusema serikali yake imefanya nini, nasikia kabeba wateule wake wakaione SGR hahahahaha nadhani ili waje watuambie wananchi kwa inajengwa.
Kumuambia mtu mwenye njaa, ambaye tayari ameishaanza kuamini kwamba hiyo njaa umemsababishia wewe kwamba unajenga SGR ni kazi ngumu sana, inahitaji busara na hekima katika uelewa , uelezaji na uongo.
Sasa hata huyu membe, hajui kujieleza, membe ni kama samaki ukimtoa majini anakufa. Yeye anajua sana mambo ya mahusiano ya kimataifa, ukimsikia anazungumzia mambo hayo utatamani angekuwa mjomba wako.
Sielewagi alifikaje top 3 ya ccm 2015,hahahaha nadhani 2015 kigezo vya mgombea wa ccm vilihusisha mgombea ni lazima awe na kiwango fulani cha ujinga hahaha sababu kama membe, Mheshimiwa Rais na yeye, na hajabadirika mpaka leo, ukimtoa kwenye mabarabara na madaraja na yeye ni kama samaki nchi kavu. Nisimzungumzie mama samia sababu dhana ya wanawake wakiwezeshwa wanaweza inaeleweka vizuri tu.
Wote tunaona mapungufu ya rais katika mambo ya sheria na utawala bora, mambo makubwa kabisa ya kikatiba, hahahaha korosho, bureau we changes, makinikia n.k
Wasiwasi wangu membe nae ni mtu wa hivi, sasa Mimi 2020 ntapiga kura kisayansi zaidi, najua Haito count lakini huwezi jua, ntapiga kisayansi, nimejifunza mambo mengi sana siku za hivi karibuni hasa mambo ya kisiasa, sio ya kuyaangalia kwa darubini moja tu, toka lowassa arudi ccm mpaka kufikia rostam azizi kuwa political analyst, ni darasa kubwa.
Toto zuri hili maamaee. Aiseee chalii yangu Erythrocyte jina la huyo demu anapoishi na contacts zake tafadhali.
Natanguliza Shukran zangu za dhati na za kipekee kabisa