MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Nimejaribu kujipenyeza kwenye makundi mbalimbali ya kijamii wakiwemo kina mama, wafanyabiashara, Wasomi, watumishi wa umma,wakulima na wafugaji,mama ntilie na Machinga kwakweli hali inaweza kua mbaya 2020 upande wa CCM.
Wengi wanasema kua pamoja na kudhibitiwa kwa mianya ya rushwa na ununuzi wa ndege pamoja treni na lakini kulingana na ugumu wa maisha sambamba na kupanda kwa bei za vyakula hakuwasaidii wao kuishi katika maisha ya furaha na amani. Wanaonekana kukata tamaa kabisa, hawaoni sababu ya wao kuishi katika maisha haya, yaani wanatamani utawala juu umalize awamu yake hata kesho.
Sasa inafikia hata ukitamka jina kiongozi flani ndani ya CCM inaonekana ni kama umetumwa, wanaona ni kama walifanya makosa makubwa kuichagua CCM kutamani kuingia tena kwenye uchaguzi mkuu hata kesho ili kuepuka kurudia kosa tena.
Kinacholalamikiwa zaidi kuona kua kinachoangaliwa zaidi na serikali ya sasa ni miradi mikubwa sana ambayo hata baadhi yake bajeti hua hazijulikani zinafanywa na nani badala ya bunge,badala ya kuhangaikia huduma za kijamii zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja kama elimu ambapo bado wanafunzi vyuo vikuu wanalia kukosa mikopo, Kodi kua juu kitu kinachosababisha maisha kupanda, ukosefu wa dawazinazogusalini na Ukosefu wa Maji safi na salama na ukosefu wa ajira ambalo ni tushio kubwa.
Suala la uhakiki wa vyeti pia limeibua mijadala mingi hasa kubaguliwa na lulindwa kwa baadhi ya viongozi na kuonewa wanyonge tu, hili suala limeijengea serikali chuki na wananchi wake.
Kwa sababu hizi hakuna dalili yeyote ya mwananchi yeyote atakayejitokeza kuibeba tena CCM, Kikubwa vyombo vyetu vya ulinzi na usala iepuke maagiza haramu ya wanasiasa kitu ambacho kinaweza kutuharibia utulivu wetu.