Ccm 2020 Ipumzishwe ikaandae vijana wake

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
240
767
Wakati katibu mkuu wa ccm akilalamika hawakuwaandaa vijana wao sisi Kama chama mbadala tulishavuka tumepika Sana vijana wetu na tupo tayari kuongoza nchi 2020 maaana tuna vijana wanaotosha kila nyanja ya nchi hii ccm ipumzishwe ili ikaandae vijana wake wenye uwezo ili tuje tushindanishe hoja maana sasa naona green guard ndo mnatuletea kuwa viongozi
Natamani nione battle ya hoja Kati ya kamanda Malisa GJ Vs thadey ole mushi au Ally Bananga Vs Rashid chilumba ili tukumbuke zile battle kwenye Jamii forum na TANURU LA FIKRA yes enzi vijana wa ccm wakijimudu kiasi Kama kina Nape Moses Nnauye
Kigwangala
Acha vijana wa CDM Kama marehemu Mohamedi Mtoi Kanyawana Yericko Nyerere Ben-Rabiu Wa Saanane

Ccm ipumzishwe ili ikapike vijana ndo ije tena kwenye siasa za ushindani Kama wakikomaa ndo watatuletea viongozi bomu zaidi ya Hawa
Tanzania inahitaji mabadiliko kimfumo kuliko Mtu maaana mfumo imara humdhibiti mianya kuliko mfumo mtu
FB_IMG_1557744459351.jpeg
 
Mkuu Dizzo, kwanza naunga mkono hoja kuwa CCM inahitaji mapumziko kidogo, kwa sababu hapo ilipo tayari imeisha overstay hivyo ipumzishwe tuu, tatizo kwa Tanzania yetu, CCM ndio the one and only chama chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu kutawala, hivyo ikipumzishwa, halafu nchi yetu apewe nani?.

Kutokana na Tanzania kutokuwa na mbadala wa CCM, then, CCM ndilo Zimwi likujualo, acha tuu itutawale mpaka tutakapo pata mbadala, na tusipopata, then, acha tuu CCM itutawale milele.

P
 
Vijana walk akina Makonda, Gambo, Hapi, Pole×2, Chalamila, Shonza, Silinde, Msukuma, Bashe nk
 
kupumzika kwa CCM ni sawa na kusema , uchumi na maendeleo yapumzike pia. najua umeelewa nini namaanisha. CCM kina kila sababu ya kuwepo na kuendelea kuwepo kwa maendeleo endelevu na ukuaji wa kasi wa uchumi wa Tanzania.

Waswahili wanasema ukiona kwa jirani kuna moshi , kwako kunateketea. nikimaanisha kuwa ninyi wapinzani mnapoona CCM vijana wake hawajaansaliwa vema basi jua hakuna unafuu wowote upinzani huko wa kuaminiwa kupewa nchi.

kama tatizo ni vijana ni kushindwa kuongoza, CCM ni hazina kubwa ya viongozi, kuna wazee ambao wataongoza vizuri vijana hao wakijifunza kutoka kwa hao wazee na hilo linakuwa ni suluhisho kuliko kuwaza kuitoa CCM madarakani.
 
Mkuu Dizzo, kwanza naunga mkono hoja kuwa CCM inahitaji mapumziko kidogo, hivyo ipumzishwe tuu, tatizo kwa Tanzania yetu, CCM ndio the one and only chama chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu kutawala, hivyo ikipumzishwa, halafu nchi yetu apewe nani?.

Kutokana na Tanzania kutokuwa na mbadala wa CCM, then, CCM ndilo Zimwi likujualo, acha tuu itutawale mpaka tutakapo pata mbadala, na tusipopata, then, acha tuu CCM itutawale milele.

P

Badilisheni dereva 2020 GARI linazama abiria wamechoka.
 
Mbadala upo kuna tofauti Kati ya ccm iliyoua misingi ya Tanu Asp na cdm inayoamini maendeleo msingi wake ni kushirikisha jamii hasa sekta binafsi

Back
Top Bottom