CCK katika harakati za usajili wa kudumu

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
HAYA wandugu,kile chama makini chenye viongozi vijana wenye mtazamo wa kuikwamua nchi katika matatizo magumu sasa kipo iringa pamoja na Ruvuma katika harakati za kuhakiki wanachama kuelekea usajili wa kudumu.

ratiba ya zoezi zima ni kama ifuatavyo:

Ruvuma zoezi linafanyika leo tarehe 25/08/2011
Musoma zoezi litafanyika tarehe 5/9/2011
pemba kaskazini zoezi litafanyika tarehe 12/9/2011
unguja kaskazini itakuwa tarehe 15/9/2011

shime vijana wa kitanzania tufanye harakati za ukombozi kumuenzi baba wa taifa hili
 
Km ni vyama vyenye mwelekeo wa kutukomboa watanzania vipo tayari na vinafanya vizuri kwa nini msiungane navyo ili kuongeza nguvu ya pamoja...? Utitiri huu wa vyama ni faida kwa wanaMagamba
Tafakari.............
 
Sio mbaya Muangila,
Tunategemea kuwa wale wote ambao wanaona CDM si chaguo lao wanaweza
kujiunga humo CCK maana wengi watatoka CCM na si CDM.
Hapo ndio itakuwa maandalizi ya kaburi la kijani kule kusini.
 
HAYA wandugu,kile chama makini chenye viongozi vijana wenye mtazamo wa kuikwamua nchi katika matatizo magumu sasa kipo iringa pamoja na Ruvuma katika harakati za kuhakiki wanachama kuelekea usajili wa kudumu.
ratiba ya zoezi zima ni kama ifuatavyo:
Ruvuma zoezi linafanyika leo tarehe 25/08/2011
Musoma zoezi litafanyika tarehe 5/9/2011
pemba kaskazini zoezi litafanyika tarehe 12/9/2011
unguja kaskazini itakuwa tarehe 15/9/2011

shime vijana wa kitanzania tufanye harakati za ukombozi kumuenzi baba wa taifa hili

I am curious to know if Mr Six and Nape are also among the founder members of this part. Is the coctail going to be the same in the new bottle?
 
Naomba kujuzwa CCK ni nini?
KAtiba iko wapi? Mbona kimya kimya.....
 
CCJ ilikuwa ya six, nepi sijui na nani vile
sitashangaa kusikia
CCK ni ya EL, RA na EC
teh teh teh teh! Hivi vyama vinanivunja mbavu kweli
 
CCJ ilikuwa ya six, nepi sijui na nani vile
sitashangaa kusikia
CCK ni ya EL, RA na EC
teh teh teh teh! Hivi vyama vinanivunja mbavu kwel

usijifanye kipofu kaka hakuna kitu kama six wala EL AND EC,chama cha sita na akina nape kilikuwa CCJ bali cck ni harakati za vijana wa vyuo vikuu ndani na nje ya tanzania waliochoshwa na siasa taka za CDM NA CCM BILA KUWASAHAU CUF NA VIBARAKA WAO AKINA NCCR,TLP,UDP,UPDP,TADEA,NRA,PPT MAENDELEO NA VIBARAKA WENGINE NSIOWAKUMBUKA MAJINA,karibu tuungane kulikomboa taifa bila hisia za udini,ukabila na ukanda!
 
Tanzania kazi ipo sioni mantiki ya kuwa na utitiri wa vyama ili kujionyesha eti tuna democracy ya kweli it is better hata vilivyopo vipunguzwe
 
Imetoka CCJ imeingia CCK! mnanshangaza! naona vyama sasa vinachipuwa kama nini kuna mshiko nini? mnanshangaza!
 
Back
Top Bottom