Elections 2010 CC: CCM iko mikononi mwenu!!!

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
789
Kwa hakika vichwa vilivyo kwenye CC ndio vinaweza kuiua CCM au kuifanya iwe kweli chama cha mapinduzi... meaning changing with environment and time...

Binafsi naamini uwezo mnao na uzoefu kwa kweli wa hali ya juu ... kazi kwenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom