CBE WAMEONYESHA NJIA KWA VITENDO,UDSM,IFM ,ST.JOSEPH CoET,DIT etc KAZI KWENU.

kuna mtu nimemsikia akisema wale waliopo kwenye mashindano ya kucheza uchi ili wapewe milioni kumi eti ni wanafunzi wa vyuo. Ivi wazazi wao huwa wanajisikiaje wanapoona eti mwanao anashindania hela kwa kuvua nguo zote na kuchezacheza mbele ya mibaba.
ivi kwanini hao wanaharakati wa wanawake huwa hawathubutu kuwashitaki waendesha mashindano ya kumdharilisha mwanamke? NI AIBU KUBWA SANA KWA TGNP, TAMWA.
 
Hii isiwe vita ya chuo kimoja vyuo vyote inabidi viwe hivyo, na si hivyo tu
hata wakaa kusuka kuvaa hereni na minyoo ya ajabu ajabu viwe marufuku maana hayo yote ni sehemu ya kumtayarisha kijana wa kitanzania anayetarajiwa kutumikia umma siku moja iwe kwa kujiajiri au kuajiriwa. vyuoni pamekuwa sehemu ya mashindano ya kuonesha nani ana kalio kubwa nani ana matiti makubwa basi balaa tu ukiwakuta malimbukeni ndio loooooo sasa zote anafikiri namna ya kuonekana kwa watu tu na mavazi yake ya ajabu.

hivi hawajui kuu mavazi ni moja ya kigezo cha kutambua tabia ya mtu, sasa wengine hawajui wanajivalia tu kisa kaingia chuo ukimuuliza babuu eee chuoni sio sekondari hapa kila mtu ana uhuru, ndio hawa wakija field aibu tupu. wabadilike .
 
kuna mtu nimemsikia akisema wale waliopo kwenye mashindano ya kucheza uchi ili wapewe milioni kumi eti ni wanafunzi wa vyuo. Ivi wazazi wao huwa wanajisikiaje wanapoona eti mwanao anashindania hela kwa kuvua nguo zote na kuchezacheza mbele ya mibaba.
ivi kwanini hao wanaharakati wa wanawake huwa hawathubutu kuwashitaki waendesha mashindano ya kumdharilisha mwanamke? NI AIBU KUBWA SANA KWA TGNP, TAMWA.
sawa mkuu.....harakati zao zina mashaka.Sijawahi ona wakikemea upuuzi huu,mara nyingi tunapata taarifa za madent wa CBE na IFM wanafanya UFUSKA hata picha zao kuwekwa kwenye blogs mbalimbali
 
Naomba IFM nao waige CBE maana pale pana laana kabisa, kipindi nasoma pale utakuta binti kavaa blauzi ama top maziwa yako nje ana vyaa kimini anakaa uchi na wakati mwnine hawavai chupi yaani nikichefuchefu ama anavaa top nyepesi bila brazia ndani chuchu zote zinaonekana anamfuata mwalimu ofisini amsaidie, hii ya kukaa ****** njee ni jambo la kawaida ifm tena kwa siku za jmosi hasa vile vipindi vya jioni unaweza zimia
eeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhh.Du JAMAAANI labda K wanataka zipate hewa safi
 
ubongo wako una minyooooo.........pole sana......
.typical mdanganyika.,unafki, fikra fupifupi na legelege, ndo maana mnashawishika kirahisi na rhetorics, kanga na kofia. unajifanya uko serious hapa kumbe ratiba nzima ya inye ndembex2 ipo ktk finga tips.
 
badala ya kushughulikia mambo ya msingi unashobokoa mavazi,kuwa uchi ni kuacha wazi uke au uume sio kuvaa skinny jeans,those are playa hating tricks!principal wa pale ni ustadhi,anataka kuleta mambo ya iran bongo!
 
Back
Top Bottom