Cbe sasa inapendeza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cbe sasa inapendeza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fisi 2, Apr 17, 2012.

 1. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,337
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Nimepita leo pale CBE DSM ee bwana hakuna kimini wala kitopu wanapendeza kweli kweli. Kumbe tukiamua tunaweza eeh wengine wafuate haraka.
   
 2. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Weka picha tulio mbali tujionee na kujua kama usemayo ni kweli au la.
   
 3. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,337
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Nimeshindwa kuapload picha mkuu hebu nikumbushe.
   
 4. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  na pia wanachuo wa kike wa r.u.c.o wanapendeza siku hizi.
   
Loading...