CBE kwatisha

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Hivi sasa taasisi nyingi za elimu nchini na hasa vio vikuu viko katika mitihani, ila cha kushanga zaidi ni baadhi ya wanafunzi wengi wa kike pale CBE hupenda sana kutumia vimbomu na wako tayari kwa kufanya chochote kwa msimamizi ili mradi asiwasimamie sana. Ushahi ni kua baadhi ya wanafunzi wa kike wanaosmaea Diploma ya Business Admistration walikamatwa hivi majuzi na vibomu hivyo. Lakini hata vivyo wapo wengi wa aina hii amabao wako tayari kutoa chochote kile ili mradi wasisimamiwe na wasimamizi wa mitihani.

Tabia hii inashusha adhi ya chuo na wahitimu wa pale. Tunaomba mkuu wa chua aamke na achunguzi swala hili kuanzia full time na wanosoma evening. Pia baadhi ya walimu naofundisha pale hasa wa diploma wafuatiliewe kwa ukaribu kwani tabia hii imekithiri sana. Tunataka products za wanafunzi zilizo juu, sasa ikifikia mahali chuo kinakosa usimamizi wa dhati basi haina maana. Tunaosoma CBE mtakubaliana nami kua swala hilii ni za kweli.
 
vibomu kama ilivyozooeleka kwa wanafunzi ni kwamba hujiandika baadhi mapajani, vijikaratasi vyenye majibu tarajiwa na wengine kuulizanza. Utagundua kua hata wale mabindi waliozoea siku zote kuvaa nguzo za kubana vitop, suruali za kubana n.k. Kipindi cha mitihani huvaa baibui ili kuficha zana za mitihani. Hili pia linachangiwa na baadhi ya wasimamizi wabovu wa mitihani. Uchunguzi ufanyike wa kina ili wahusika wafukunzwe. Baadhi ya wanafunzi wanaopenda haki huishia kulalamikatu.
 
Lakini hata vivyo wapo wengi wa aina hii ambao wako tayari kutoa chochote kile ili mradi wasisimamiwe na wasimamizi wa mitihani.
***wapo wengi wakina nani?
***kutoa chochote nini, hela?
***wewe umesaidia vipi kukomeshwa kwa suala hilo?
 
Hivi sasa taasisi nyingi za elimu nchini na hasa vio vikuu viko katika mitihani, ila cha kushanga zaidi ni baadhi ya wanafunzi wengi wa kike pale CBE hupenda sana kutumia vimbomu na wako tayari kwa kufanya chochote kwa msimamizi ili mradi asiwasimamie sana. Ushahi ni kua baadhi ya wanafunzi wa kike wanaosmaea Diploma ya Business Admistration walikamatwa hivi majuzi na vibomu hivyo. Lakini hata vivyo wapo wengi wa aina hii amabao wako tayari kutoa chochote kile ili mradi wasisimamiwe na wasimamizi wa mitihani.

- Wewe ni mwanafunzi wa CBE au Mhitimu wa CBE?

- Umechukua hatua gani mahsusi wakati ulipoona udhaifu huu?
 
vibomu kama ilivyozooeleka kwa wanafunzi ni kwamba hujiandika baadhi mapajani, vijikaratasi vyenye majibu tarajiwa na wengine kuulizanza. Utagundua kua hata wale mabindi waliozoea siku zote kuvaa nguzo za kubana vitop, suruali za kubana n.k. Kipindi cha mitihani huvaa baibui ili kuficha zana za mitihani. Hili pia linachangiwa na baadhi ya wasimamizi wabovu wa mitihani. Uchunguzi ufanyike wa kina ili wahusika wafukunzwe. Baadhi ya wanafunzi wanaopenda haki huishia kulalamikatu.

Kama na wewe ni mwanafunzi hapo kazi ipo!
 
Kweli JF kuna vichwa.Ukitaka kuazisha mada hakikisha umejipanga vizuri siyo unaongea kama upo katika vijiwe kwa kahawa.
 
Kama unaweza kutumia mapaja yako kuandika notes za term mzima au kutoa chochote kwa msimamizi ambae anakitafuta hicho hicho chochote huoni ni jitihada binafsi na akili za ziada? Labda kama kuna tafsiri nyingine ya akili lakini sikuzote ni "kutumia kichwa/ubongo wako kutatua tatizo, na hao unaowalalamikia wanatumia ubingo kujipanga kaka, shule zimakuwa ngumu!...

Wengi wanaosoma hapo nadhani wapo tayari makazini na sijui kama shida ni kucheat kwenye mitihani tu, kuna mengi zaidi ya kufuatilia. Ebu tujulishe mfumo mzima wa ufundishaji hapo upoje, manake ukina wanafunzi wamefikia kiwango cha juu cha udanganyuifu siku ya mitihani na walimu wanatoa ushirikiano kwa huo udanganyifu ni wazi hakuna mafundisho hapo ni "usanii tu"...
 
Swala la msingi kwenye vyumba vya mitihani waweke CCTV ukiangalizia tu OUT. Mawasiliano zaidi wam-contact SASP Kova.
 
CBE,TIA HIVI ni vyuo vinjavyozalisha wanataaluma viwete kama si vimeo Tanzania..ni vyuo vinavyopokea wanafunzi waliopigwa Disco pale IFM , Arusha , UDSM katika masomo ya uhasibu, na nimeelezwa na mtu kuwa kama unafail kwenye hivyo vyuo jua wewe ni kimeo wa taaluma.
 
Kweli JF kuna vichwa.Ukitaka kuazisha mada hakikisha umejipanga vizuri siyo unaongea kama upo katika vijiwe kwa kahawa.

Ndio wasomi wetu hao.Hata kiswahili cha shida .Sijui hicho kiingereza wanaandika vipi.

Mwakumbuka vitabu vya "Someni bila shida."?
 
Mtu kaleta malalamiko nyie badala ya kujadili ili tupate solution mnaleta majungu. Nina wasiwasi na nyinyi labda mlipita hapo na mlifanya hivyo.Kimsingi hili ni jambo hatari sana kwa nchi yetu ambayo ni changa sana hata kielimu.madhara hatutayaona sasa hivi.Guys tuweni makini sana elimu nzuri na wahitimu makini wanatakiwa kwenye sekta zote
 
vipi CBE ilishawaj=hi kuonekana ni chuo kizuri kwani? mbado! pale ni kuuza sura na kugawiana urod..kwa sana. pamekaaa kaa km vile eneo la kufanya show za mavazi,taarabu vilemh! mi chijui
 
...Hivi kuna chuo ambacho wanafunzi hawaibii mitihani kwa namna moja ama nyingine? Kuibia mitihani, na kuleta udanganyifu ni hulka ya mtu. Chuo kama chuo hakihusiki na hakiwezi kushiriki na upuuzi huo, vinginevyo kama kuna ushindani kati ya vyuo, kitu ambacho mimi sikioni; especially kwenye hivi vyuo vya Serikali.
 
.......Hili tatizo halipo CBE tu kwa hapa bongo, kama ni vibomu huu uozo upo vyuo vingi tu vya Tanzania na UDSM ikiwa ndani yake.
 
Back
Top Bottom