Cbe dsm campus go wireless

paparazi

Member
Jul 7, 2009
17
0
colloge of business education dar es salaam campus wamefunga wireless internet sasa hivi wanamalizia matengenezo madogo madogo kukamilisha hadi sasa teyari substation zimefugwa. Lakini sijui wanachukuwa kwa host gani?
 
hongera cbe kwa kufunga wireless internet are hope wanafunzi watoa tumia kwa malengo yaliyowekwa.
 
hongera cbe kwa kufunga wireless internet are hope wanafunzi watoa tumia kwa malengo yaliyowekwa.

Yeah! Wajiunge jf coz any time wakiwa na maswali kuhusu masomo watasaidiwa.

Vilevile hapa watapata news mbalimbali ndani na nje ya tz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom