Caught pants down: Si Mwenyekiti SADC wala Waziri wake mwenye ujasiri wa kupongeza kufutwa Uchaguzi wa Rais Malawi

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Mar 26, 2019
1,292
2,000
Maisha na Wakati vina namna yake ya kuchagua muda sahihi wa kuwawajibisha ama kuwadhihirisha viongozi wanafiki na waongo; Viongozi wasioamini hata chembe katika ustawi wa maisha ya watu na siasa safi.

Dunia nzima imepongeza hatua iliyopigwa na Mahakama ya Katiba ya Malawi katika kujenga nchi ya Demokrasia, isipokuwa Mwenyekiti wa SADC na Waziri wake.

So tuna Mwenyekiti na Waziri ambao katika wiki hii dunia na karma vimewaumbua na badala wachukue hatua kurekebisha maji yaliyokorogeka, wameishia kuwatuma Wabunge na wanachama wa chama chao watishie kuua Mbunge mwingine baada ya awali kukwama kumuua Mbunge mwingine.

Nchi iliponyimwa mkopo na World Bank, hawakuweza kutoa kauli kuwakemea WB, pamoja na kujidai, kwa mfano, kuwa Profesa ni Mwamba asiyeshindwa kazi anazopewa, ama kwamba thesis yake ya PhD ilipita pasipo correction huko Ujerumani.

Kijana wao mhalifu wa makosa dhidi ya binadamu amepigwa ban kutokutoa pua yake nje ya nchi lakini Waziri mjivuni na Mwenyekiti wa SADC wamemyuti as if wao si watu wale wale wajivuni tuwajuao.

Na ikatokea haraka sana pia - Mahakama ya Malawi imefuta Uchaguzi batili wa Rais uliompa ushindi Rais fake Peter Mutharika wa Malawi.

Lakini nchi Kiongozi wa SADC haioneshi Uongozi kuwasaidia watu wa Malawi kupita katika kipindi hiki chenye changamoto, si Mwenyekiti wa SADC wala Waziri ameweza kutoa kauli - japo basi kusema hawakubaliani na Uamuzi huo maana Mwenyekiti na Waziri ni kweli HAKI ni msamiati CHUKIZO kwao.

Tatizo nini? Ni kwamba Mwenyekiti wa SADC na Waziri wake hawajasikia habari hii ama vp? Au hata Kiingereza cha Malawi nacho hawakielewi, maana najua cha Pompeo kiliwapita kati ya miguu yao?

Mwenyekiti SADC Come on man, SHOW SOME LEADERSHIP
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,932
2,000
wampomgeze nani rais ama mahakama? Deplomasia mkuu, ukipongeza harafu huyohuyo rais akashinda.
Ktk mazingira yahivto hua wana withdraw figures.
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
9,172
2,000
August 16, 2019
Pretoria, Republic of South Africa

Upholding the civil and political rights in 14 SADC countries questioned during the 39th SADC Summit in Tanzania

Source: SABC Digital news
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
9,172
2,000
wampomgeze nani rais ama mahakama? Deplomasia mkuu, ukipongeza harafu huyohuyo rais akashinda.
Ktk mazingira yahivto hua wana withdraw figures.

24 Apr 2019
Lilongwe, Malawi

#CloudsMedia tunakuletea Matangazo ya moja kwa moja kutoka Malawi ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yupo nchini humo kwenye ziara yake ya kikazi. Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli aliimwagia sifa nchi ya Malawi chini ya Rais Mh. Peter Mutharika.

Source: CLOUDSMEDIA
 
victory02

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
448
1,000
Maisha na Wakati vina namna yake ya kuchagua muda sahihi wa kuwawajibisha ama kuwadhihirisha viongozi wanafiki na waongo; Viongozi wasioamini hata chembe katika ustawi wa maisha ya watu na siasa safi.

Dunia nzima imepongeza hatua iliyopigwa na Mahakama ya Katiba ya Malawi katika kujenga nchi ya Demokrasia, isipokuwa Mwenyekiti wa SADC na Waziri wake.

So tuna Mwenyekiti na Waziri ambao katika wiki hii dunia na karma vimewaumbua na badala wachukue hatua kurekebisha maji yaliyokorogeka, wameishia kuwatuma Wabunge na wanachama wa chama chao watishie kuua Mbunge mwingine baada ya awali kukwama kumwua Mbunge mwingine.

Nchi iliponyimwa mkopo na World Bank, hawakuweza kutoa kauli kuwakemea WB, pamoja na kujidai, kwa mfano, kuwa Profesa ni Mwamba asiyeshindwa kazi anazopewa, ama kwamba thesis yake ya PhD ilipita pasipo correction huko Ujerumani.

Kijana wao mhalifu wa makosa dhidi ya binadamu amepigwa ban kutokutoa pua yake nje ya nchi lakini Waziri mjivuni na Mwenyekiti wa SADC wamemyuti as if wao si watu wale wale wajivuni tuwajuao.

Na ikatokea haraka sana pia - Mahakama ya Malawi imefuta Uchaguzi batili wa Rais uliompa ushindi Rais fake Peter Mutharika wa Malawi...

Lakini nchi Kiongozi wa SADC haioneshi Uongozi kuwasaidia watu wa Malawi kupita katika kipindi hiki chenye changamoto...si Mwenyekiti wa SADC wala Waziri ameweza kutoa kauli - japo basi kusema hawakubaliani na Uamuzi huo maana Mwenyekiti na Waziri ni kweli HAKI ni msamiati CHUKIZO kwao.

Tatizo nini? Ni kwamba Mwenyekiti wa SADC na Waziri wake hawajasikia habari hii ama vp? Au hata Kiingereza cha Malawi nacho hawakielewi, maana najua cha Pompeo kiliwapita kati ya miguu yao?

Mwenyekiti SADC Come on man, SHOW SOME LEADERSHIP🤷‍♂️
Ukistaajabu ya SADC utayaona ya AU
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
9,172
2,000
5 October 2019

Malawi's President Mutharika: 'The election was not rigged' | Talk to Al Jazeera

Published on 5 Oct 2019
Peter Mutharika has governed the small African nation of Malawi since 2014. He is a lawyer and professor who ran for a second five-year term in elections earlier this year. But opposition parties said there were irregularities in the vote - and the high court temporarily prevented the results from being released.

The electoral commission has since declared the 79-year-old Mutharika the winner of that vote leading to thousands of Malawians to protest against that decision. Police fired tear gas at protesters as the government accused the opposition of attempting to overthrow Mutharika by force. Now, as he begins his new term, Mutharika faces several issues - including corruption, poverty and healthcare. We will ask him what he intends to do to tackle these challenges. Malawi's president Peter Mutharika, talks to Al Jazeera.

Source: Al Jazeera
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
9,172
2,000
Ndiyo tatizo la maRais wa Afrika kupongezana wakati kulikuwa na umma mkubwa wa wananchi na vyama vingine vya siasa vikipinga matokeo na mwenendo wa kimaadili wa Tume ya Uchaguzi.

Hili ni Somo zuri kwa marais wa kiAfrika kusoma alama za nyakati na kuwa na subira badala ya kukimbilia kupongezana na kutosikiliza sauti zinazopinga matokeo ya chaguzi.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
11,648
2,000
wampomgeze nani rais ama mahakama? Deplomasia mkuu, ukipongeza harafu huyohuyo rais akashinda.
Ktk mazingira yahivto hua wana withdraw figures.
Aisee vichwa vya wengine vinawafaa wenyewe tu! Da! Naona aibu kama ni mimi niliyeanzisha hii thread!
 
Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,203
2,000
Kilichoandikwa humu ni upuuzi na ujinga na upumbavu mtupu. Hivi Mwenyekiti wa SADC anapata wapi mamlaka na kwa sheria ipi kuingilia mambo ya ndani ya nchi ya Malawi? Je Waziri wa mambo ya nje anahusikaje kwenye maamzi ya mahakama ya Mslawi? Ama kweli mtu akifilisika kisisa hugeuka juha
Maisha na Wakati vina namna yake ya kuchagua muda sahihi wa kuwawajibisha ama kuwadhihirisha viongozi wanafiki na waongo; Viongozi wasioamini hata chembe katika ustawi wa maisha ya watu na siasa safi.

Dunia nzima imepongeza hatua iliyopigwa na Mahakama ya Katiba ya Malawi katika kujenga nchi ya Demokrasia, isipokuwa Mwenyekiti wa SADC na Waziri wake.

So tuna Mwenyekiti na Waziri ambao katika wiki hii dunia na karma vimewaumbua na badala wachukue hatua kurekebisha maji yaliyokorogeka, wameishia kuwatuma Wabunge na wanachama wa chama chao watishie kuua Mbunge mwingine baada ya awali kukwama kumwua Mbunge mwingine.

Nchi iliponyimwa mkopo na World Bank, hawakuweza kutoa kauli kuwakemea WB, pamoja na kujidai, kwa mfano, kuwa Profesa ni Mwamba asiyeshindwa kazi anazopewa, ama kwamba thesis yake ya PhD ilipita pasipo correction huko Ujerumani.

Kijana wao mhalifu wa makosa dhidi ya binadamu amepigwa ban kutokutoa pua yake nje ya nchi lakini Waziri mjivuni na Mwenyekiti wa SADC wamemyuti as if wao si watu wale wale wajivuni tuwajuao.

Na ikatokea haraka sana pia - Mahakama ya Malawi imefuta Uchaguzi batili wa Rais uliompa ushindi Rais fake Peter Mutharika wa Malawi...

Lakini nchi Kiongozi wa SADC haioneshi Uongozi kuwasaidia watu wa Malawi kupita katika kipindi hiki chenye changamoto...si Mwenyekiti wa SADC wala Waziri ameweza kutoa kauli - japo basi kusema hawakubaliani na Uamuzi huo maana Mwenyekiti na Waziri ni kweli HAKI ni msamiati CHUKIZO kwao.

Tatizo nini? Ni kwamba Mwenyekiti wa SADC na Waziri wake hawajasikia habari hii ama vp? Au hata Kiingereza cha Malawi nacho hawakielewi, maana najua cha Pompeo kiliwapita kati ya miguu yao?

Mwenyekiti SADC Come on man, SHOW SOME LEADERSHIP
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom