Catherine Ruge na Suzan Kiwanga nao wakamatwa na Jeshi la Polisi

Safi sana hawa wahuni wachache hawawez kuharibu nchi yetu wakapakatwe sasa,ngoja jion niingie lindo nkawshike shike papuchi
 
Maisha yanaenda kasi sana

Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
Hawajachoka ila ni waoga sana na hali kiuchumi ni mbaya!!!!
Ukiona mtu mmoja analalamika ujuwe kuna wengine ishirini wamekaa kimya.
 
Jaribu tuu Mkuu. Unaweza kuanza na ilikuwa na wabunge wangapi. Hoja walizoibua bungeni n.k.

Amandla...
Kuhusu wabunge sitoliongelea maana baada ya hapo wengi waliongezeka kutokana na umaalufu wa mzee lowassa,

Natamani kuzungumzia nguvu ya hoja iliyokuwepo kipindi kile ukilinganisha na sasa...
 
Ndio maana kiongozi wa nafasi ya juu serikali anaweza kuona ani jambo la maana yeye kwenda kuzindua GEREZA jipya wakati nchi zingine zipo busy kupunguza idadi ya WAFUNGWA. Kwa Tanzania sioni umuhimu saana wa viongozi wetu kuwa na shule kubwa, tunadhalilisha sana elimu in the name of ccm. form 6 au diploma inatosha kabisa kua moja ya sifa za viongizo wetu, hakuna sababu ya kua na degree holders; kwenye sheria halikadhalika, hata ajaji mkuu awe na certificate au diploma tu ya sheria, inatosha kabisa. Hizi PHD zinasababisha watoto wetu kudharau elimu, matendo, maneno yao na namna zao unaona ni bora umsikilize yule mbunge wa Sengerema bwana Tabasamu (nadhani nae ni la saba ) au kaka J4 wa Kahama kuliko Phd holder wa sheria
 
Yaani Kuna watu wanamambo ya kisechu sana!
Nikiwa dar leo mzee mmoja KWa asira nikasikia ANASEMA

Hawa Police , ni lazima kuwatafutia wakina OTANGO OSALE, watano kila Mkoa , watanyooka maana wanakaa mtaani, huku wanajidai na mabunduki yao, akaongeza hata Uhuru wa Tanganyika haukuja kiraisi, bali kila kundi KWa uwezo wake lilitumia NJIA walioweza, Mara mzee akaondoka zake

Mpaka mda huu najiuliza

OTANGO OSALE ni watu wa aina ipi? Sifa zao ni zipo? Je tz wakina OTANGO OSALE wapo ? Kama wapo wanapatikana wapi, na Kama hawapo mzee atawatafuta wapi?

Je wakina OTANGO OSALE ni watu wenye nguvu Sana Kwamba watano tu kila Mkoa watawakomesha police? Na je kwenye Uhuru walishiriki ? Kama walishiriki ,walitumia NJIA zipo?

Tafadhali mwenye majibu ya kina, maana huyu Mzee kaniacha na maswali , na sijui Kama nitakuja kutana nae tena,
 
Na wewe umewahi kumuona mke au mtoto wa Nyerere kawekwa rumande au kupewa kesi ya uchochezi kama Nyerere wakati wa kupigania uhuru?

Kawawa?

Karume? N.k...

Be smart ata kama hauna akili na elimu.

Na wewe umewahi kumuona mke au mtoto wa Nyerere kawekwa rumande au kupewa kesi ya uchochezi kama Nyerere wakati wa kupigania uhuru?

Kawawa?

Karume? N.k...

Be smart ata kama hauna akili na elimu.
Duu jibu zuri Sana kwa huyo kilaza.
 
Nikiwa dar leo mzee mmoja KWa asira nikasikia ANASEMA

Hawa Police , ni lazima kuwatafutia wakina OTANGO OSALE, watano kila Mkoa , watanyooka maana wanakaa mtaani, huku wanajidai na mabunduki yao, akaongeza hata Uhuru wa Tanganyika haukuja kiraisi, bali kila kundi KWa uwezo wake lilitumia NJIA walioweza, Mara mzee akaondoka zake

Mpaka mda huu najiuliza

OTANGO OSALE ni watu wa aina ipi? Sifa zao ni zipo? Je tz wakina OTANGO OSALE wapo ? Kama wapo wanapatikana wapi, na Kama hawapo mzee atawatafuta wapi?

Je wakina OTANGO OSALE ni watu wenye nguvu Sana Kwamba watano tu kila Mkoa watawakomesha police? Na je kwenye Uhuru walishiriki ? Kama walishiriki ,walitumia NJIA zipo?

Tafadhali mwenye majibu ya kina, maana huyu Mzee kaniacha na maswali , na sijui Kama nitakuja kutana nae tena,
Ngoja niingie chimbo kutafiti.
 
wanaacha kufanya shughuli zao za kujiingizia kipato wanajipeleka kwenye matatizo, halafu cha kushangaza wanao wachochea kama kina Mnyika na kina John Mrema wao wanakaa pembeni!! jamani jiongezeni tuache kuchuuzwa.
 
jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
Uliwahi kumsikia mke wa Nyerere akifanya harakati ?! Au uliwahi kusikia kina Makongoro hata Madaraka kwenye harakati hizo ?

Siyo kwa sababu family ya Mbowe haifanyi harakati basi wenye ufahamu huu waache .
 
nimewahi kumsikia mke wa katibu mkuu wa zamani Dr. Slaa, Mama shujaa mama Mushumbuzi lkn leo hii huwezi kumuona mke wa Mbowe kwenye mtiti wala mke wa mnyika wala mke wa John Mrema wala mke wa kiongozi yeyote lkn unakuta wake za watu wengine wanaishi kula viboko na kulala sero!!
shituka achana na upuuzi huu. wacheni kutumika kipuuzi.
 
nimewahi kumsikia mke wa katibu mkuu wa zamani Dr. Slaa, Mama shujaa mama Mushumbuzi lkn leo hii huwezi kumuona mke wa Mbowe kwenye mtiti wala mke wa mnyika wala mke wa John Mrema wala mke wa kiongozi yeyote lkn unakuta wake za watu wengine wanaishi kula viboko na kulala sero!!
shituka achana na upuuzi huu.
Wapo wa aina hiyo akina Winnie Mandela' na hata Sophia Kawawa . Hao wamezaliwa na hobbies hizo . Siyo kila moja .

Acheni Cdm wafanye mambo yao wanavyoona. Wewe kwa akili zako unaiona police yetu iko sawa ?!
 
Kuhusu wabunge sitoliongelea maana baada ya hapo wengi waliongezeka kutokana na umaalufu wa mzee lowassa,

Natamani kuzungumzia nguvu ya hoja iliyokuwepo kipindi kile ukilinganisha na sasa...
Nahisi kuwa hiyo nguvu ya hoja unayotamani kuizungumzia haikuwepo maana unaitafuta kwa muda mrefu sasa.

Amandla...
 
jidanganye, hii ngoma nzito sana.
Jamuhuri imeamua, haifanyi majaribio.tusubiri yatakayo jiri mahakamani
Dunia itashuhudia kuwa Mbowe hakubambikiwa wala hakuonewa, uovu wote utawekwa hadharani.
naamini Jamuhuri imejipanga vilivyo.
 
Hivi hawa porice kazi yao rasmi no IPI? Ifike kipindi hawa porice tuwatie adabu maana. hajasomea hivo wanavyo Fanya Leo na mim mtoto wangu siwezi kumpeleka porice akasome never
The only place where proffesors can met standard seven in the same table is JF...!!
balaa hili
 
jidanganye, hii ngoma nzito sana.
Jamuhuri imeamua, haifanyi majaribio.tusubiri yatakayo jiri mahakamani
Dunia itashuhudia kuwa Mbowe hakubambikiwa wala hakuonewa, uovu wote utawekwa hadharani.
naamini Jamuhuri imejipanga vilivyo.
Ushahidi wa uongo. Nani atawazuia walete tu huo ushahidi . Nchi ya kubambika vyesi kwa wananchi wake !! Aibu sana
 
Back
Top Bottom