Catherine Ruge asema, Mwananchi na The Citizen hawakupaswa kuomba radhi kwani namba hazidanganyi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,327
Walichoandika Citizen na Mwananchi kilikuwa sahihi kabisa na hakupaswa kuomba radhi! Wahisani waliahidi 2,130.9billion na pesa walizotoa kwa serikali ni 144Billion. So 144B/2,130.B unapata 6.7%! Numbers don't lie@HecheJohn@zittokabwe

D1mjb8vWsAA12f3.jpg
 
Tatizo la serikali hii inapenda kudanganywa kuwa inafanya mambo makubwa, wakati kiuhalisia ni kuwa hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku

Utashangaa vijarida vinavyoongoza kwa uongo, vi akina tanzaniteee, linalochapwa na kada wa CCM, Musibaaa, vinaendelea kudumu bila hata ya kupewa angalau onyo!

Wakati magazeti serious kama vile Citizen ndiyo yanayofungiwa!
 
Tatizo la serikali hii linapenda kudanganywa kuwa inafanya mambo makubwa, wakati kiuhalisia ni kuwa hali inazidi kuwa mbaya sana kila siku.

Utashangaa vijarida vinavyoongoza kwa uongo, vi akina tanzaniteee, linalochapwa na kada wa CCM, Musibaaa, vinaendelea kudumu bila hata ya kupewa angalau onyo!
Hii ni awamu ya maigizo na uongo mwingi!
 
Walishajua watanzania walioko mjini siku hizi hawadanganyiki, hivyo nguvu hiyo inatumika kudanganya watu wa vijijini ambao ndio tegemeo lao kubwa sana kwa kuamini ni mbumbumbu.

Wamesahau ya kuwa huko vijijini watu saa za alfajiri huamka na BBC; saa tano DW; saa saba tena DW; saa 12 wapo na BBC tena kisha saa moja wapo na France international na saa mbili Idhaa ya kiswahili.


Hakuna mtanzania mjinga tena!! Wao wazibe midomo media za kwetu huku za nje tunasikiliza vizuri tu huku tunachunga ng'ombe porini
 
Back
Top Bottom