Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.
CDM imeimarika kwa maamuzi haya.
Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Tukubali tu. Pamoja na wana CCM kumubatiza majina ya fedheha, Mbowe na timu yake ni miamba. Chama sasa kiko njia sawa na salama.
 
Mkuu do you think hakuna means yoyote ya kufanywa na akina ndugai ili waendelee kuwa wabunge?hata kwa kuwahamishia ccm?
Kuamia CCM inawezekana lakini kupata ubunge labda wapewe nafasi kumi alizobaki nazo Magu au ikitokea uchaguzi mdogo.
Aidha CCM walikuwa wanawahitaji kina Mdee ili wawawezeshe kupata takriban 1.7 trillion kutoka kwa mabeberu,ambazo bila shaka kwa staili hii naona zimebuma.
 
Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Tofauti zao ndio zimeifanya chadema kumudu katika nyakati ngumu zaidi.
 
Nyongeza muhimu;

Wakati wa vikao vya vuguvugu la kudai mageuzi nyumbani kwa Marehemu Mzee Kumesera Mbowe ndio alikuwa karani wa kuandaa makabrasha kabla kuanza vikao.

Pili wengi wasichokijuwa Mbowe ndiye aliyewashawishi Zitto Kabwe, John Mnyika, Halima Mdee na Sugu kujiunga Chadema.

Simply Mbowe ni genius.
Pamoja na hilo hakuna mtu aliyepiga vita mageuzi kama Agustino Mrema wa Kiraracha na mzee wa siku saba. Kama Naibu Waziri Mkuu alitumia vyombo vya dola na hasa FFU kuwashambulia, kuwaumiza wana mageuzi hadi kuwalemaza baadhi yao. Halafu eti wapo wapuuzi wanataka kumlinganisha Mbowe na hiyo takataka.
 
Mmemuacha ADUI yenu mnagombana wenyewe kwa wenyewe.
Wenzenu huko wanacheka tu.

Adui huyo aliyeachwa ni nani/yupi?

Naona hata huna maarifa ya kutambua kuwa hao kinamama 19 automatic walishakuwa sehemu ya adui huyo na walistahili kupigwa kama maadui pia...

Wakatumiwa kama silaha ya adui huyo kuwamaliza CHADEMA. Wakatangulizwa ama wakawekwa mbele ya mstari wa mapambano...

Unfortunately kwao, wote wamechapwa risasi na kuuwawa...

Hopefully, atajitokeza adui mwenyewe sasa maana "chambo" imeliwa na kwisha kabisa bila ndoano kunasa samaki..

CCM na Magufuli wajipange upya. Hili limebuma spectacularly...

Wamekosa na wanaendelea kukosa imani (trust) ndani ya nchi na wananchi na ktk jumuiya ya kimataifa...

Tunaelewa mla nyama za watu haachi kula nyama hiyo...

Wataenda hatua inayofuata. Kina Lijualikali, Cecil Mwambe, Silinde nk Spika Ndugai alitumia kisingizio cha CHADEMA hawakufuata utaratibu kuwafutia uanachama na hivyo yeye atawatambua kuwa ni wabunge halali...

Kwa hawa atatumia kisingizio gani eti maana wameitwa kujitetea wao wenyewe wameshindwa kutumia fursa hiyo??

Yajayo yanahuzunisha sana...
 
Limebuma wakati mnatibuana wenyewe kwa wenyewe?
Magufuli ana hasara gani?
Halima na wenzie Wana hasara gani?
Adui huyo aliyeachwa ni nani/yupi?

Naona hata huna maarifa ya kutambua kuwa hao kinamama 19 automatic walishakuwa sehemu ya adui huyo na walistahili kupigwa kama maadui pia...

Wakatumiwa kama silaha ya adui huyo kuwamaliza CHADEMA. Wakatangulizwa ama wakawekwa mbele ya mstari wa mapambano...

Unfortunately kwao, wote wamechapwa risasi na kuuwawa...

Hopefully, atajitokeza adui mwenyewe sasa maana "chambo" imeliwa na kwisha kabisa bila ndoano kunasa samaki..

CCM na Magufuli wajipange upya. Hili limebuma spectacularly...

Wamekosa na wanaendelea kukosa imani (trust) ndani ya nchi na wananchi na ktk jumuiya ya kimataifa...

Tunaelewa mla nyama za watu haachi kula nyama hiyo...

Wataenda hatua inayofuata. Kina Lijualikali, Cecil Mwambe, Silinde nk Spika Ndugai alitumia kisingizio cha CHADEMA hawakufuata utaratibu kuwafutia uanachama na hivyo yeye atawatambua kuwa ni wabunge halali...

Kwa hawa atatumia kisingizio gani eti maana wameitwa kujitetea wao wenyewe wameshindwa kutumia fursa hiyo??

Yajayo yanahuzunisha sana...
 
Hivi seriously ukiwatazama Halima Mdee au Ester Matiku na Bulaya kweli mlikuwa mnaamini kuna siku wanaweza kukataa viroba vya pesa kwa ajili ya itikadi ya Chama?

Mtu pekee ninaeweza kumuamini kwny hili pale Chadema ni Lazaro Nyalandu ambae alionesha kwa vitendo kuacha Ubunge bila ya kushinikizwa kwa kusimamia alichokuwa anakiamini
Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
 
Mnamlaumu halima kwa lipi?
Hivi ukimtazama Halima Mdee kweli mlikuwa mnaamini kuna siku anaweza kukataa viroba vya pesa kwa ajili ya itikadi ya Chama?

Mtu pekee ninaeweza kumuamini kwny hili pale Chadema ni Lazaro Nyalandu ambae alionesha kwa vitendo kuacha Ubunge bila ya kushinikizwa kwa kusimamia alichokuwa anakiamini
 
Mzee Mdee amechemka sana kwa tamaa zile
Katika maana ya kuwatumikia watanzania kachemka lkn kwa Maslahi binafsi kacheza kete vizuri.Ana uhakika wa kazi,Hana shida yeyote.Hapo ye Ni burudani ilimradi tu asivuliwe Ubunge.Ila akivuliwa ubunge Basi utakuwa Ni msiba mkubwa kwa Halima,na hatakaa asahau mbinu hii ya CCM
 
Ana uhakika wa kazi katika short ru.How about long run?Unaelewa kuwa kitendo alichofanya kimeharibu reputation yake?Unaelewa kuwa CCM ni wanafiki na huwa hawana rafiki wa kudumu?(refer wapinzani waliohamia CCM vile wametoswa)Ni nini hatima yake baada ya hii miaka mitano?(Kumbuka yule bado ni kijana)
 
Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Wewe Mama D msimamo wako uko wapi?? Lengo lako ni kuwa chadema inafutika kabisa au unaona mheshimiwa Mbowe hana sifa ya kuwa kiongozi wa chama kwa sababu tu ni Mchaga? Maana siku hizi baada ya wasukuma kuchukua himaya tatizo la ukabila limefanya watu wengine wakose sifa za kuwa viongozi wazuri kisa wanatoka kabila fulani na baadhi ya vyama kama CHADEMA na ACT-WAZALENDO.
 
Back
Top Bottom