Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,362
- 33,003
Na Ndugai, CCM na TISS watakuwa biggest loser maana hawatakuwa wabunge kama wanavyotakaNa wataomba na kusamehewa sababu ndio makubaliano
Na wafuasi watafurahishwa na hilo
Na Ndugai, CCM na TISS watakuwa biggest loser maana hawatakuwa wabunge kama wanavyotakaNa wataomba na kusamehewa sababu ndio makubaliano
Na wafuasi watafurahishwa na hilo
Kitu ambacho hukijui, unataka kulinganisha enzi miaka ya 1900s na miaka ya 2000s.Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Mbowe kawafunika gunia Mwalimu anakwenda kutoa mbinu ya mchezo!
Mungu atupe uhai mkuuWenye akili tu ndio wataelewa ulichoandika!
Kwanini anaitwa mzee mdee?Mzee Mdee amechemka sana kwa tamaa zile
Mungu atupe uhai mkuu
Mkuu do you think hakuna means yoyote ya kufanywa na akina ndugai ili waendelee kuwa wabunge?hata kwa kuwahamishia ccm?Na Ndugai, CCM na TISS watakuwa biggest loser maana hawatakuwa wabunge kama wanavyotaka
Kwa desturi ya nchi isiyofuata sheria na katiba hawa covid 19 wataendelea kuwa wabunge kwa sababu hii nchi haifuati tena katiba wala sheria za nchi bali matakwa ya viongozi. (Rejea sakata la Mwambe na Silinde pila lile la wabunge wa Lipumba na Nyalandu-double standard)Mkuu do you think hakuna means yoyote ya kufanywa na akina ndugai ili waendelee kuwa wabunge?hata kwa kuwahamishia ccm?
yes niliwaza hivyo piaKwa desturi ya nchi isiyofuata sheria na katiba hawa covid 19 wataendelea kuwa wabunge kwa sababu hii nchi haifuati tena katiba wala sheria za nchi bali matakwa ya viongozi. (Rejea sakata la Mwambe na Silinde pila lile la wabunge wa Lipumba na Nyalandu-double standard)
Cha muhimu wamepoteza uhalali wa kusimama kwa niaba ya chadema. So nobody cares watakuwa nani for now. Wawe bungeni au wasiwe bungeni hayo ni ya watawala. Chadema haihusiki nao tena
Kwenye ile orodha hawa watu wanne wamenisikitisha sana.Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
Kwenye ile orodha hawa watu wanne wamenisikitisha sana.Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
Tamaa ya nini ?Huyo huyo mbowe ni tamaa ndo inamsumbua
kwani akiwa hivyo wewe unanufaika na nini?Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Hilo lipo wazi,, na kwa akili ya kawaida tu, ni kwamba wamejiua kisiasa tayari.
Na ndo hapo wajue nje ya mfumo uliopo usijedanganye una nguvu. Ukishaondoka na nguvu zako zinaisha. Kuweza kubounce back ni neema tu! Otherwise hao mpaka hapo walipo ni zilipendwa tu.
Watatokea watu wengine wenye nguvu na wao watasahaulika milele.
Hakuna mtanzania asiyejua walichofanya. Kwa hiyo hata wakifanya propaganda watu watakuwa wanawachekinkwa mbali na kucheka tu!!