Castrol Oil: Edge Professional Vs Magnetic

Me natumia Edge 5W30 ila ni kwasababu ndio recommended sijawahi jaribu Magnetic. Ila nitajaribu Liqui Moly.
 
Castrol kama utapata yenyewe ipo vizuri sana tatizo oil nyingi zimeingiliwa ndio maana unaona nazo zikawa na mapungufu feki nyingi zipo pia ila wauzaji wanazijua ya uongo na ya ukweli...
 
Hata ukienda nunua petrol station za puma?
 
Wanaweza wakawa wapo vizuri hao Puma ila nimesahau jinsi ya kujua ipi feki na ipi yenyewe nilikua naangalia mifuniko yake na seal ipo tofauti kidogo ila ndio mpaka uonyeshwe maana wa bongo wanaenda kutengeneza vidumu tupu China wanakuja kumimina ile oil inayopendwa kwenye hayo madumu na kuuza... password yake nimeisahau kidogo
 
Magnet inaweza kutumika kwenye kila engine ya gari, kwa maana ya diesel na petrol lkn edge haiwez kutumika kwenye kila engine ya gari yenyewe mara nyingi inatumika kwenye petrol engine tu
Hivi kaka kwa mfano kama oil recommended ya RAV4 engine ya mwaka 2015 ni 5W-30,je hii ni kwa ajili ya sehemu za baridi tu au ni kwa ajili ya sehemu za joto tu?Ina maana hii inaweza kutumika sehemu za baridi kama ulaya na pia ikatumika sehemu za joto kama Afrika?Kama jibu ni ndiyo,je ni kwa nini?; kwa sababu oil za magari huwa zinaathiriwa na hali ya hewa ya eneo husika?
 
Alafu na mimi naomba msaada kati ya
1. Edge vs Total 9000 na
2. Magnatec vs Total 9000

Zote ni 5W30
Pia naomba maelezo, hawa mechanics wetu wa @xxxWheel wanajuaje oil hii ya km 3000, hii ni ya km 5000 na hii ni ya km 10000
 
5w30 ni oil inayotumika sehemu zote kwa maana ya ukanda wa barid na joto la kiasi, point hapo ipo kujua hizo no za oil zinatumikaje, no ya kwanza kabla ya W ni viscosity ya oil kuanza kufanya kazi wakati engine ya ya gari yako ikiwa ya barid yaani haijaanza kupata joto na hiyo no ya pili baada ya w ni viscosity ya oil kulinda engine yako inapokua imefikia kiwango cha joto lake la ufanyaji kazi wake, na watengenezaji wa magari wengi duniani wanaweka recommendation ya oil zao za magari kulingana na sehemu inayotumika na mara nyingi huwa wanakuwekea specifications zaidi ya moja kutegemeana na mazingira ya eneo husika
 
Alafu na mimi naomba msaada kati ya
1. Edge vs Total 9000 na
2. Magnatec vs Total 9000

Zote ni 5W30
Pia naomba maelezo, hawa mechanics wetu wa @xxxWheel wanajuaje oil hii ya km 3000, hii ni ya km 5000 na hii ni ya km 10000
Hizi ni bidhaa za kampuni mbili tofauti ambazo hata utengenezaji wake ni tofauti, nikianza na edge vs total 9000 hizi ni oil za petrol ambazo zinatumika kwenye magari yanayotumia petrol tu, pia zote ni synthetic technology oil

magnet vs total 9000 ni oil mbili tofauti na zilizowekwa additives tofauti pia, magnet ni oil ambayo inatumika katika magari yote either kwenye petrol au diesel lkn total 9000 inatumika kwenye petrol tu na pia aditives zilizowekwa kwenye magnet ni tofauti kabisa na total 9000 kwani kwa hivi sasa Kuna baadhi ya magari engine zao zimetengenezwa na sumaku ndani yake ndio maana Castrol kwa kuligundua Hilo wakatengeneza oil hizo pia,

Angalizo hutakiw kuweka oil ya total 9000 kwenye engine ambayo inataka uweke Magnet maana yake unaenda kuua engine bila kujijua na baadhi ya magari hayo ni, Rangerover, Mazda, Fold, jaguar nk Ila unaweka kuweka magnet kwenye gari yoyote ya petrol au diesel na usipate shida yoyot
 
Asante mkuu kwa maelezo, ila bado sijapata nachokihitaji.
Kwa maana hiyo magnatec ndo inayoongoza kwa ubora kwenye hizo oil 3 kwa magari ya petrol?
Sasa kwa nini edge ndo bei?
Pia kama unajua ningependa maelezo waosema hii ni km3000, km 5000, km10000 wanazingatia nini
 
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu kwa maelezo, ila bado sijapata nachokihitaji.
Kwa maana hiyo magnatec ndo inayoongoza kwa ubora kwenye hizo oil 3 kwa magari ya petrol?
Sasa kwa nini edge ndo bei?
Pia kama unajua ningependa maelezo waosema hii ni km3000, km 5000, km10000 wanazingatia nini
Kwenye Km hizo no assumption tu za mafundi baada ya kuona oil nyingi za total zimeandikwa kwa no wao zile number wakazipa jina la km za oil kitu ambacho sio sahihi, Niseme hivi, Kuna makundi makuu mawili ya oil, moja ni mineral oil na lingine ni synthetic oil, hapo kwenye kuzifafanua itakua siku nyingine. hivyo Basi watengeneza magari wameshauri Kama unatumia mineral oil kwenye gari yako hakikisha unaibadilisha kabla au ukifikisha km kuanzia km 2500-3000 ni kwa sababu uwezo wa hiyo oil na material yaliyotumika kuitengeneza hayatakua na uwezo wa kuilinda engine ukienda zaidi ya hizo km tajwa. Na Kama unatumia synthetic oil unashauriwa kubadilisha Kati ya km 5000-8000 tu hivyo oil yoyote ambayo ipo kwenye makundi hayo mawili inatakiwa ibadilishwe kulingana na ipo kundi gani

Kuhusu edge na magnetic Bei kutofautiana, Edge Ina additives nyingi na inatumika zaidi kwenye kila gari ya petrol but magnet ni maalumu kwa engine baadhi tu japokua haikuzuii kutumika kwenye engine nyingine za magari, Kama hujaelewa hapo Bado +255719263074
 
Back
Top Bottom