Castor Oil

  • Thread starter mwanaume wa kweli
  • Start date

mwanaume wa kweli

mwanaume wa kweli

Member
Joined
Dec 31, 2012
Messages
44
Likes
14
Points
15
mwanaume wa kweli

mwanaume wa kweli

Member
Joined Dec 31, 2012
44 14 15
OMGrace ni suluhisho la kudumu kwa afya,Ngozi na Nywele zako,mafuta ya OMGrace Castor Oil ni ya asili 100% hayajaongezwa kemikali yoyote na yanatumika kufanya vitu katika mzunguko wa maisha yetu ya kila siku hebu pitia baadhi ya kazi zake hapa chini,mafuta haya yanatumika kwa ajili ya.

- Kukuza nywele na kuzifanya imara zijae
-Yanakuza nywele za kope na nyusi
-kufanyia massage ya kichwa
- Yanasaidia mzunguko wa damu kichwani
- Yanaondoa mba
- Yanafanya dreadlock kuwa laini
- Yanafanya nywele kung'aa na kuwa laini
- Yanaotesha nywele hata kwenye ualaza
-Yanalaihisha ngozi ya mwili
-Yanaondoa mikunjo usoni na kukuacha laini
-Yanaondoa madoa ya chunusi
- Miguu iliyokauka kuwa laini
- Stretchmarks kipindi cha ujauzito
-Yanasaidia kupata choo
- Yanaongeza hamu ya kula
- Tiba kwa wenye mzio
- kurekebisha hedhi
- kupunguza maumivu ya hedhi
-Kuvimbiwa
- Pia ni tiba kwa wanaume wanaowahi kumaliza wakati wa tendo.

Kuwa na mafuta ya OMGrace Castor Oil ndani ya nyumba yako kuna faida nyingi sana.

Kila tumizi ulilolisoma hapo juu lina maelekezo yake tofauti,ndio maana ukinunua OMGrace Castor Oil utapata kikaratasi chenye maelekezo ya jinsi ya kuyatumia mafuta haya kwa kila tumizi.

Mafuta haya yanapatikana kwa Tshs.12,000/= ,Wateja wa Dar es salaam tunafanya delivery na mikoani tunatuma.Mawasiliano ni whatsapp/call 0629084421

Usisahau kufolo instagram@omgracetz @omgracetz na facebook page Omgracetz
new5-jpg.622359
c-jpg.622360
 

Attachments:

  • File size
    262 KB
    Views
    78
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Messages
532
Likes
793
Points
180
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined May 30, 2017
532 793 180
naomba moja ya majaribio nipo mkoani kama unatuma
 
mwanaume wa kweli

mwanaume wa kweli

Member
Joined
Dec 31, 2012
Messages
44
Likes
14
Points
15
mwanaume wa kweli

mwanaume wa kweli

Member
Joined Dec 31, 2012
44 14 15
Mazingira na hali ya maisha yamepelekea vitu vingi vya asili kutoweka ndio maana sasa hivi magonjwa na athari ni nyingi,ndio maana unahitaji kuwa na Omgrace Castro Oil haya ni mafuta ya asili kabisa yenye uwezo wa kutibu vitu vingi kwa pamoja,hebu angalia uko namba ngapi na ngapi?.

1. Kukuza nywele,nyusi na kope haraka
2. Shida ya kuota vipara
3.Nywele kukatika
4.Nywele kuwa nyepesi
5.Nywele kupoteza weusi na hazing'ai
6.Mba Sugu
7.Madoa Mwilini
8.Ngozi kukakamaa
9.Michirizi(Stretchmark)
10.Mikunjo usoni
11.Miguu iliyokauka
12.Hamu ya kula
13.Kukosa choo/kigumu
14.Mzio wa ngozi
15.Maumivu ya hedhi
16.Kurekebisha hedhi
17.Kuvimbiwa
18.Chunusi
19.Massage
20.Mwanaume anaewahi.

Na ili kukuhakikishia matokeo yake unaponunua utapewa na karatasi ya maelekezo ya jinsi ya kutumia kwa vyote hivyo,SASA UNAKOSAJE KUWA NAYO.

Yanapatikana kwa Tshs. 12000/= na 6000/=,Sinza Afrika sana DSM, Wateja wa mikoani tunatuma bila shaka.

mawasiliano : 0629084421

usisahau kuffolow akaunti kuna mafundisho mengi ya jinsi ya kujikinga na visababishi vya hivyo hapo juu.
follow @omgracetz
 

Forum statistics

Threads 1,235,139
Members 474,353
Posts 29,213,101