Castol Oil ni noma

wajumbe kuna wakati nilikuwa na tatizo la kutopata hamu ya kula hata ukinipa silace mbili za mkate simalizi na sina hamu ya kula tena,...kuna mtu akanishauri ninywe castol oil
....aisee nilipokunywa hiyo siku nilihara mpaka nikadhani utumbo nao unatoka....dah hii oil siyo kabisa ila baada ya hapo nakula mpaka mkate nusu hautoshi tena.

Nina galoni la lita tano, je ninywe zote au hazitoshi nikaongeze zaidi?
 
loh, hayo mafuta sina hata ham nayo.
Mi nlikua nakunywa kwa sababu ya tatizo la kupata haja kubwa, yani hata ukifanikiwa kuyameza na ukawa hujatapika unastahiki pongezi, basi mimi yalinitapisha siku 1 nayaogopa mpk leo.
Zamani naskkia hata mama mwenye uchungu wa kujifungua anapewa then anaharisha wansema inasaidia mtt kutoka mara 1 tumbo linakua lishasafika.
Hata mbarika zzenyewe si mnajua km noma wakuu? Naskia zimekaa km njugu


labda kama anatokea nyuma mkuu
hii na mbele aina uhusiano kabisa
 
Hiyo inaitwa Castor Oil na si "Castol".

Unanikumbusha utotoni tulikuwa tukipewa kila miezi mitatu mara moja. Siku ya Jumamosi usiku, Jumapili hakuna kutoka. Ukijidai kujamba umejiharia, hapo sasa!

ongea ukweli zomba kijijini muipate wapi hii mpwa
sema mlikuwa mnapewa maji ya michongoma unaharisha kama hii ukajua ni co
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom