Castol Oil ni noma

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
1598313327854.png

wajumbe kuna wakati nilikuwa na tatizo la kutopata hamu ya kula hata ukinipa silace mbili za mkate simalizi na sina hamu ya kula tena,...kuna mtu akanishauri ninywe castol oil.

Aisee nilipokunywa hiyo siku nilihara mpaka nikadhani utumbo nao unatoka....dah hii oil siyo kabisa ila baada ya hapo nakula mpaka mkate nusu hautoshi tena.
 
Ngojea na mimi ninywe halafu nione maana hata mimi sina hamu ya chakula kabisa.
 
wajumbe kuna wakati nilikuwa na tatizo la kutopata hamu ya kula hata ukinipa silace mbili za mkate simalizi na sina hamu ya kula tena,...kuna mtu akanishauri ninywe castol oil
....aisee nilipokunywa hiyo siku nilihara mpaka nikadhani utumbo nao unatoka....dah hii oil siyo kabisa ila baada ya hapo nakula mpaka mkate nusu hautoshi tena.

Hii kitu nakumbuka nyumbani tulikuwa tunapewa kila tukifunga shule-ilikuwa inanikera sana na lazima nifungwe pua wakati wa kupewa (mama!!! mungu amrehemu huko aliko ) by then sikuwa ninajua umuhimu wake, tulikuwa tuniita "castroli"
 
Mkuu Kunta Kinte inaonekana tumekua pamoja wewe! Mbona namna ya kunyweshwa hiyo dawa kumefanana hivyo? Mama zetu wa miaka ya 70's na 80's walikuwa bomba sijui hawa wa sasa hivi wanayajua haya!

Sisi tulikuwa tukimaliza kunyweshwa unapewa kipande cha mhogo mkavu utafune maana vinginevyo unatapika! Baada ya muda unamwaga kama bata! CASTROLI bwana ni noma, baada ya kusoma kumbe ni CASTOR OIL!
 
mkuu kunta kinte inaonekana tumekua pamoja wewe! Mbona namna ya kunyweshwa hiyo dawa kumefanana hivyo? Mama zetu wa miaka ya 70's na 80's walikuwa bomba sijui hawa wa sasa hivi wanayajua haya! Sisi tulikuwa tukimaliza kunyweshwa unapewa kipande cha mhogo mkavu utafune maana vinginevyo unatapika! Baada ya muda unamwaga kama bata! Castroli bwana ni noma, baada ya kusoma kumbe ni castor oil!

mkuu job
mpm kunta vizuri yawezekana dingi zenu wamoja mamaza ndio wanajua siri nzito
 
Loh, hayo mafuta sina hata ham nayo. Mi nlikua nakunywa kwa sababu ya tatizo la kupata haja kubwa, yani hata ukifanikiwa kuyameza na ukawa hujatapika unastahiki pongezi, basi mimi yalinitapisha siku 1 nayaogopa mpk leo.

Zamani naskkia hata mama mwenye uchungu wa kujifungua anapewa then anaharisha wansema inasaidia mtt kutoka mara 1 tumbo linakua lishasafika.

Hata mbarika zzenyewe si mnajua km noma wakuu? Naskia zimekaa km njugu
 
Ngojea na mimi ninywe halafu nione maana hata mimi sina hamu ya chakula kabisa.


Losambo itafute hii kitu ila kama una wife mwambie akupe asubuhi sana inapatikana pharmacy nyingi. mwambie aandae msosi tu ikifika mida ya saa tisa au kumi maana utakuwa na njaa ya kufa mtu utahitaji kula kila wakati halafu inatoa uchafu woooote tumboni....mi toka niitumie nime-improve sana kula na namshukuru sana my wife kunishauri
 
Castol oil ndio ikoje na inapatikana wapi?

Katavi ipo pharmacy nyingi wewe uliza tu castor oil...halafu unywe kichupa chote kama itakushinda basi changanya na chai kidogo maana unaweza tapika yale mafuta kuyameza noma.....inasafisha tumbo na kuongeza hamu ya kula sana...unashauriwa kunywa baada ya miezi mitatu ama minne
 
ladha yake hapa nilipo nasikia kichefuchefu....kina mama wa sasa hawajui dawa mbadala matokeo yake maradhi hayaishi
 
Mkuu Kunta Kinte inaonekana tumekua pamoja wewe! Mbona namna ya kunyweshwa hiyo dawa kumefanana hivyo? Mama zetu wa miaka ya 70's na 80's walikuwa bomba sijui hawa wa sasa hivi wanayajua haya! Sisi tulikuwa tukimaliza kunyweshwa unapewa kipande cha mhogo mkavu utafune maana vinginevyo unatapika! Baada ya muda unamwaga kama bata! CASTROLI bwana ni noma, baada ya kusoma kumbe ni CASTOR OIL!

Job acha tu hawa wamama wa sasa hakuna kitu kabisa, utaambiwa mtoto hataki dawa!!
 
Da mumenikumbusha miaka ya 47 hayo mafuta yataka moyo kuyanywa,ukifunga choo ndio yalikuwa yanatumika ukikosa hayo mafuta unawekwa kipande cha sabuni,

tena sabuni hizi za mche za rangi ya blue na nyeupe siku hizi zimerudi tena kule Kyela tulikuwa tunaziita sabuni za Mafura,kutokana na kuwa zilitengenezwa na kiwanda pekee enzi hizo wilayani Kyela kilichokuwa kinaitwa Mafura Soap kilikuwa kiwanda cha wahindi,malighafi makubwa yakiwa mafuta ya mawese,pia kulikuwa na mafuta ya samaki,mtoto kama haendichoo alikuwa ananyweshwa
 
Wakuu hayo mafuta yanatokana na nin??

Yanaweza kupatikana natural??

Sie wengine tuna areji na matakataka yapitiayo viwandani.
 
Losambo itafute hii kitu ila kama una wife mwambie akupe asubuhi sana inapatikana pharmacy nyingi. mwambie aandae msosi tu ikifika mida ya saa tisa au kumi maana utakuwa na njaa ya kufa mtu utahitaji kula kila wakati halafu inatoa uchafu woooote tumboni....mi toka niitumie nime-improve sana kula na namshukuru sana my wife kunishauri

Kaka ni kula tu hau na KUlaaaaaaaaaaaaaa!
Usiwafiche watu faida ya KUSAFISHA tumbo, Lazima Ufanisi uongezeke kunako 6x6.
 
Hiyo inaitwa Castor Oil na si "Castol".

Unanikumbusha utotoni tulikuwa tukipewa kila miezi mitatu mara moja. Siku ya Jumamosi usiku, Jumapili hakuna kutoka. Ukijidai kujamba umejiharia, hapo sasa!
 
Mafuta ya nyonyo(castor oil) ni colon cleanser ambayo ni moja kati ya natural remedy, ni mazuri kutumia kwani hayana side effect. Mafuta ya nyonyo yanafaida nyingi sana. si tu yanalainisha choo (kitu ambcho kinaweza fanywa kwa kutumia Dulcolax) bali pia yanatibu magonjwa mbalimbali. Jihabarishe zaidi faida za kutumia mafuta ya nyonyo.


What are the Benefits of Castor Oil?

Castor Oil has been used both internally and externally for thousands of years due to its many wonderful health benefits. Since it can strengthen the immune system, castor oil is considered a great remedy to treat the following major illnesses and ailments:
  • Multiple Sclerosis
  • Parkinson's Disease
  • Cerebral Palsy
  • Hair loss
  • Pain from Arthritis and Rheumatism
It has also been found to help with many everyday problems such as:
  • Yeast Infections
  • Constipation
  • Gastrointestinal Problems
  • Menstrual Disorders
  • Migraines
  • Acne
  • Sunburn
  • Athlete's Foot
  • Ringworm
  • Skin Abrasions
  • Inflammation
Castor Oil is also commonly used to induce labour, so pregnant women should always consult a doctor before using it.

Uses of Castor Oil

Arthritis Natural Remedy


The anti-inflammatory properties of Castor Oil make it an excellent massage oil for relieving arthritic joints, nerve inflammations, and sore muscles.
  • Make a small pad by folding a small piece of unbleached cotton flannelette into 3 or 4 layers.
  • Dip the cotton pad into Castor Oil and place it on to the affected joint or muscle.
  • Cover the pad with a plastic wrap.
  • Place a hot water bottle or heating pad over the plastic wrapped cotton pad. The plastic wrap will prevent the water bottle or heating pad from getting oily.
  • Leave the cotton pad on for 45 minutes to an hour, once per day.
This Castor Oil pack can be reused. Simply place it into a plastic ziplock bag and refrigerate it until it is ready to be used again. It can be refrigerated in a ziplock bag.

Constipation Remedy
Studies have shown that Castor Oil is a very strong laxative, which makes it very effective against constipation. Therefore, simply take a teaspoon of castor oil in the morning. You can mix the oil with orange juice, cranberry juice, prune juice, or ginger juice to take away from the bitter taste without affecting the laxative effects. However, do not take it continuously for more than 3 days. If symptoms persist for longer than 3 days, consult your physician immediately.

Ringworm Treatment
Ringworm is known to be a stubborn condition to treat, but one of the active compounds of Castor Oil (Undecylenic Acid) has been found to be very effective at treating this fungal infection.
  • Spray Castor leaves with some hot water and coarsely crush the leaves.
  • Soak the leaves in pure coconut oil.
  • Warm the leaves to a temperature that will not burn the skin, and apply the leaves over the affected area as a poultice.
  • Leave on the skin for at least one hour, or optionally overnight.
  • You may wrap the leaves with unbleached cotton fabric to prevent the oil from staining your bed sheets.
Repeat the procedure every night before going to bed until cured. However, if you notice any redness or discomfort around the area, discontinue this remedy.

Skin Problems
Successful studies have approved the use of Castor Oil for skin infections and other skin problems such as sunburn, abrasions, acne, dry skin, boils, warts, stretch marks, athletes foot and chronic itching and inflamed skin.
  • Dip a cotton ball into Castor oil and apply it onto the affected skin in the morning and at night.
  • Alternatively, for larger skin areas, soak an appropriately large piece of unbleached cotton cloth in Castor Oil and wrap the affected area overnight.
  • If the area is very small, soak a Band-Aid in Castor Oil and cover the infected skin overnight.
For stubborn fungal infections that affect the skin or nails, it is recommended to soak the affected skin in Epsom Salt for 10-15 minutes to soften and disinfect the skin before applying Castor Oil. This can help speed up the healing process.

Stye Treatment
The anti-bacterial components of castor oil have been found to be effective against styes (oil gland infections on the eyelid). Simply apply a very small drop of the oil directly onto the stye 2 or 3 times per day.

Wrinkle Treatment
Castor oil is a natural emollient that penetrates the skin and helps stimulate the production of collagen and elastin which can soften and hydrate the skin. Therefore, it is a wonderful natural treatment for wrinkles since it restores and rejuvenates skin's natural youthful appearance by making skin smoother, softer and pliant. Dip a small cotton ball into the oil and apply it on wrinkled skin before going to bed. Use only a small amount of oil when applying it to the skin near the eyes.

What are the Side Effects of Castor Oil?
Castor oil is normally safe if used in moderation. However, pregnant and lactating women and people with intestinal blockage, acute inflammatory intestinal disease, appendicitis, or abdominal pain should not take Castor Oil without their doctor's approval.

Note that precautions must be taken when taking the oil internally, so you should always follow the directions on the package and consult your doctor or naturopathic professional before consuming it. A typical recommended dosage for the oil is no more than one-half to one full teaspoon per day. Overdosage of Castor Oil may result in diarrhea, nausea, vomiting, abdominal pain or cramping.
 
Back
Top Bottom