Caspian Mining Limited inamilikiwa na nani?

decreased its stake to 16%, while
Caspian’s increased to 19%. A
representative of Caspian on the
Vodacom Tanzania board is
businessman Rostam Aziz,
 
Hebu tujuzeni vizuri, habari zilizozagaa ni kwamba matandao wa EL ndio uliomweka JK Madarakani, Sasa kama RA ni king maker aliyemweka JK madarakani mnmaana EL na RA ni kitu kimoja?
 
Hebu tujuzeni vizuri, habari zilizozagaa ni kwamba matandao wa EL ndio uliomweka JK Madarakani, Sasa kama RA ni king maker aliyemweka JK madarakani mnmaana EL na RA ni kitu kimoja?

Kwa vipi iwe kitu kimoja? Wakati moja jumulisha moja ni mbili?
 
Habib ni managing director na rostam ni owner wa Caspian ........ni expert n he is very smart kwenye kazi.katupiga gap sana watz

Capian ipo world wide na inafanyakazi za ukandarasi wa migodi na Ofisi kuu yake ipo Australia na kwa hapa Tanzania RA ndio msimamizi mkuu
 
Back
Top Bottom