Cashiers - Nafasi 3

Status
Not open for further replies.

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,910
1,131
Kampuni ya Huduma ya chakula (Catering services) unatafuta vijana watakao ajiri katika nafasi za kupokea na kulipa pesa (cashiers) katk vituo vyake tofauti tofauti.

Sifa za Muombaji awe anaelimu hadi ngazi ya Cheti.
Awe muaminifu.
Awe tayari kufanya kazi nje ya Dar es salaam iwapo atapangiwa.
Awe mwenye kujituma na mwepesi kutuma na kuelezea ripot za kila siku.

Uzoefu sio lazima kwa wanaohitaji
Tuma CV yako kwenda likwandaa@gmail.com. au nipigie namba 0656 279 230

Updates:
Tunawashukuru wale wote waliotuma maombi na wale waliitwa katika interview wakaja. Taarifa ni Kua usaili wa mwisho utafanyika Jumatatu hii ya tarehe 15/07/2019. Wale wote ambao hakuitwa katika interview sio kama hawakua na vigezo Bali ni kulingana na uchache wa nafasi, ila CV zenu tumezitunza kama ukitokea uhitaji basi tutawaita.
 
Nawashukuru sana wadau wote wanaoendelea kutuma CV, ila naona watu wenye degree nao wameomba, naomba niweke wazi kua Mshahara sio mkubwa kiasi cha kumshawishi graduate kujiunga nasi. Kazi inawafaa wale wenye hadi certificate sio mbaya.
 
Shida sana

Mkuu usiogope mavyeti ya degree wasaidie tu hali ni ngumu watu wapo tayari kupokea mshahara huo unaouona ni Mdogo.
 
Nawashukuru sana wadau wote wanaoendelea kutuma CV, ila naona watu wenye degree nao wameomba, naomba niweke wazi kua Mshahara sio mkubwa kiasi cha kumshawishi graduate kujiunga nasi. Kazi inawafaa wale wenye hadi certificate sio mbaya.
Duuuh mshahara uo uo unatosha cha msingi upate kitu cha kufanyaa
 
Kampuni ya Huduma ya chakula (Catering services) unatafuta vijana watakao ajiri katika nafasi za kupokea na kulipa pesa (cashiers) katk vituo vyake tofauti tofauti.

Sifa za Muombaji awe anaelimu hadi ngazi ya Cheti.
Awe muaminifu.
Awe tayari kufanya kazi nje ya Dar es salaam iwapo atapangiwa.
Awe mwenye kujituma na mwepesi kutuma na kuelezea ripot za kila siku.

Uzoefu sio lazima kwa wanaohitaji
Tuma CV yako kwenda likwandaa@gmail.com. au nipigie namba 0656 279 230

Kampuni haina Jina
Kampuni haina Full Physical Address
Kampuni haina number za simu
Kampuni hii pia imetoa,nafasi za kazi bila yakusema huyu cashier atafanya kazi gani
Wakati mwingne watanzania wenzangu tuwe na maswali yakuhoji kwanza, Kama mtu hataki hata kusema jina la hiyo kampuni basi,kuna shida sehemu
 
Mimi niliuliza kule juu hakujibu jamaa atakua dalali tu huenda kszi ipo kweli au anataka kuona cv za watu
 
Kampuni haina Jina
Kampuni haina Full Physical Address
Kampuni haina number za simu
Kampuni hii pia imetoa,nafasi za kazi bila yakusema huyu cashier atafanya kazi gani
Wakati mwingne watanzania wenzangu tuwe na maswali yakuhoji kwanza, Kama mtu hataki hata kusema jina la hiyo kampuni basi,kuna shida sehemu
Nashukuru sana kwa argument zako, sio lazima kila kitu kiwekwe wazi ila kwa mtu atayeitwa atajulishwa na kuoeshwa sehemu ya kazi. Hakuna mtu yoyote anayeombwa atume pesa au masharti mengine yoyote isipokua CV na kufika ofisini kwa ajiri ya usaili.Kila mtu na utaratibu wake wa kutoa matangazo ila kama tumekukwaza basi tunaomba msamaha. Pia waweza kupiga namba ya ofisi +255 222 861 032 asante.
 
nafasi zimeshajaa...?
 
Nashukuru,rekebisha hiyo number ya simu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom