Cash Madame Njoo usikilize beat yako huku......

Terace

Member
Jun 13, 2017
75
98
Naomba msikilize beat ya Wimbo wa Vee Money (Vanessa Mdee - Juu )





Na hii ya wimbo wa Creole - BONOBO (Unaofanya vizuri sana kwy Trace Urban)




Maoni yangu:
Vanessa kafanya vizuri sana hadi inafikia wasanii wengine wanaanza ku-copy kwake, anatuwakilisha vizuri shosti.
 
Back
Top Bottom