Cash Madame Njoo usikilize beat yako huku......

Terace

Member
Jun 13, 2017
65
125
Naomba msikilize beat ya Wimbo wa Vee Money (Vanessa Mdee - Juu )
Na hii ya wimbo wa Creole - BONOBO (Unaofanya vizuri sana kwy Trace Urban)Maoni yangu:
Vanessa kafanya vizuri sana hadi inafikia wasanii wengine wanaanza ku-copy kwake, anatuwakilisha vizuri shosti.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom