Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 5,457
- 12,655
Me Naelewaaa Mkuu... Mara nyingi kwenye kila kesi huwa tunaangalia je parties wana locus stand au wamedandia tu gari kwa mbeleWaulize maana watapewa tu.
Simply ni neno la kilatini, meaning; "a place to stand", yaani malalamiko yako mahakamani yana "base" kwenye nini.