Uchaguzi 2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

Mgiriki Jr VI

JF-Expert Member
Dec 20, 2019
2,805
2,000
Heroes wakati wanatumia 330million *12 =3,960 million anakula mlevi wa konyagi na genge lake la wahuni. Kafanya nini kuendeleza chama? Mafisadi wakubwa.
Mambo aliyofanyiwa mbowe ungekuwa wewe ungekuwa umekufa kwa presha mara 7 ×70
 
Mgiriki Jr VI

JF-Expert Member
Dec 20, 2019
2,805
2,000
Uchama pembeni, hapa nauliza wewe mtu mzima na akili zako timamu kabisa pengine ni Baba/Mama wa familia unaandika ujinga wa kiwango hiki? Ok ana Makengeza does that one makes u Happy?

Wewe hapo ulipo umejiona kasoro ulizanazo! Acheni mambo ya kukosoa uumbaji wa Mwenyezi Mungu,shindaneni kwa hoja na siyo huu ujinga ulioandika hapa. Kila la heri.
Watu walishazika utu wanatukuza vyama na miungu Watu
wanajiona wao ni immortal wataishi milele na ni perfect hawana kasoro yoyote.....
 
cencer09

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,884
2,000
Sawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu.

Na hayo yote yanatokea kwanini nyinyi kama wasimamizi na mawakala mnakubari kama sio kushiriki kwenye dhurma? au hujapata mgao wako?

Watu kama nyinyi ni kutia risasi kabisa, maana mnashiriki kuiangamiza nchi.
Mahakama ipi mkuu, hizi zilizokuwa compromised? Kama siyo mahakama ya Rufaa kuwarudisha wakurugenzi kusimamia uchaguzi leo labda ujinga huu usingekuwa wa kiwango hiki
 
lebabu11

JF-Expert Member
Mar 27, 2010
2,185
2,000
Matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka huu yalikua matokeo ya kupikwa, Rais wabunge na madiwani walijiteua wenyewe kwa kile kilichoitwa order kutoka juu(NEC) wasichokijua ni kwamba utawala uliongia madarakani uneturudisha nyuma miaka 20, Serikali ndio inayokwenda kushinda dhidi ya raia na watumishi wake wote.

Kwa maelezo yako inawezekana kabisa kupata mahali pa kuanzia;
Hakuna mshindi aliyejitangaza mwenyewe kuanzia udiwani, ubunge hadi Rais wa Zanzibar na yule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waliosimamia uchaguzi na kutangaza matokeo ni watumishi wa uma (Tume ya uchaguzi) na hawa wanaweza kuwajibishwa kisheria kutokana na vitendo vyao dhidi ya taifa.
Njia bora ya kurekebisha mambo yahusuyo uchaguzi ni kuwashughulikia watumishi wanaohujumu uchaguzi badala ya kuwalalamikia waliotangazwa washindi(wanasiasa).
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,544
2,000
Duuu jamaa unajifariji sana mpaka unakuwa mjinga. Sasa uzalendo Wake Hapo uko wapi JF. Are you serious. Kama ndo aina ya wanachama hao walioshindwA ndo kama wewe Basi hata nyumba yako sijui inasalimikaje.
Another dracular on the blood hunt!!!
 
Koffi Yardley

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
619
500
Tanzania's 'sham' election leaves democracy reeling (AFP)
Mojawapo ya habari za kimataifa ni hiyo ya jana.

Huko Hai yupo Sabaya aliesifiwa sana na JPM. Mambo afanyayo ni ya ajabu mno na ukijiuliza huyu UONGOZI kampa nani unapata majibu yaleyale ... zama za kina Bashite na wenziwe. Inasikitisha sana. Backwards huko ndo tunazidi kwenda
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
960
1,000
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho.

Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi either by HOOKS or by CROOKS. Hili lilikuwa apizo la Magufuli na wenzake na walilifanya kwa ushamba na ujinga wa viwango vyote vya ujinga duniani.

Kwa waliopoteza kumbukumbu, jimbo la HAI ndilo lilikuwa jimbo la kwanza kutoa matokeo ya uchaguzi takribani masaa yasiyozidi 8 baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa ile saa 10:00 jioni ya tarehe 28/10/2020.

Kwa teknolojia ya uhesabuji kura ktk vituo vya kupigia kura, kujaza fomu mbalimbali, compilation ya matokeo ngazi ya kata na jimbo ili kumpata mshindi wa udiwani na mbunge na kwa kuzingatia jiografia ya majimbo yetu ya uchaguzi yote Tanzania mtu anaweza kuona ugumu wa kuikamilisha kazi hiyo ktk interval ya masaa takribani 9 au 10 tu katika ngazi ya jimbo.

Bahati njema mimi nilikuwa mmoja wa maafisa wa uchaguzi huu nikiwa mwajiriwa ndani ya serikali, nikipewa jukumu hili pia.

Katika eneo nililosimamia mimi, kituo cha mwisho kuleta matokeo wilayani (jimboni) ili kufanya majumuisho kumpata mshindi wa ubunge ilikuwa ni saa 2asb kesho yake yani 29/10/2020!

Kwa kawaida, baada ya kituo cha kupigia kura kufungwa saa 10:00 jioni, uwezekano wa mtu wa mwisho kupiga kura inaweza kuwa kati ya saa 1 hadi 1.30 kutegemea na kituo na idadi ya wapiga waliokuwepo kabla ya saa 10 jioni. Hii maana yake mtu wa mwisho alipiga kura saa 11:30jioni kabla ya kuanza kuhesabu.

Kuna vituo vingine zoezi la kuhesabu kura, kubishana na mawakala na kutatua migogoro inayojitokeza na kujaza fomu mbalimbali ikiwemo ya taarifa ya kituo lilikwenda hadi saa 4usiku.

Baada ya hapo kwa kawaida msimamizi wa kituo cha kupigia kura hubeba masanduku ya kura na matokeo hadi makao makuu ya kata ili kufanya majumuisho ili kumpata mshindi wa udiwani na kumtangaza.

Baada ya hapo msimamizi wa kituo cha kupigia kura wakiambatana na msimamizi msaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata hubeba masanduku ya kura, matokeo ya kura za ubunge na urais hadi jimboni/wilayani kwenda kufanya majumuisho ya kura za ubunge na Urais..

Likifanyika hili, mshindi wa ubunge hutangazwa na kisha msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hutuma NEC matokeo ya kura za urais za jimbo...

Je, haya yalifanyika pale Hai katika interval ya masaa machache vile? How exactly?..

Na pengine tujaribu kujiuliza HAI, Kilimanjaro jiogarafia ya jimbo hilo ikoje? Walitumia teknolojia gani kiasi ambacho ndani ya masaa 8 tu baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa wakawa wamepata matokeo sahihi ya kila kituo na kuwatangaza wasindi wa udiwani na ubunge?

Mimi nasema, ni uongo. Haiwezekani abadani unless matokeo yawe yalikuwa yakitumwa kutoka vituo vya kupigia kura kwa njia ya mtandao wa computer!

Matokeo ya kawaida ya majimbo - ubunge japo na yenyewe ni wizi mtupu yalianza kutangazwa kesho yake ya tarehe 29/10/2020 kuanzia ingalau saa 6mch..

Ni wazi bila shaka kulikuwa na matokeo mengine "fake" tofauti na matokeo halisi yaliyotumika kutangaza washindi.
We we Msimsmizi Feki na Mtumishi Feki wa Umma.
 
Albert Einstein

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
382
1,000
Mimi nasema, ni uongo. Haiwezekani abadani unless matokeo yawe yalikuwa yakitumwa kutoka vituo vya kupigia kura kwa njia ya mtandao wa computer!

Matokeo ya kawaida ya majimbo - ubunge japo na yenyewe ni wizi mtupu yalianza kutangazwa kesho yake ya tarehe 29/10/2020 kuanzia ingalau saa 6mch..

Ni wazi bila shaka kulikuwa na matokeo mengine "fake" tofauti na matokeo halisi yaliyotumika kutangaza washindi.
Tumeanza na kusahau hayo machungu,,, acha maisha mengine yaendeleee
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,031
2,000
Katika eneo nililosimamia mimi, kituo cha mwisho kuleta matokeo wilayani (jimboni) ili kufanya majumuisho kumpata mshindi wa ubunge ilikuwa ni saa 2asb kesho yake yani 29/10/2020!
kwa hiyo hilo jimbo uliokuwepo mkuranga unalazimisha liwe sawa na hai?
hujui kwamba kuna visiwa vidogo pembeni mpaka mtumbwi upatikane,Hai ni fasta tu Mugabe chali
 
faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,580
2,000
Kura halali na sahihi zilikuwa ni mchujo wa kura za maoni wakati wa kutafuta wagombea zingine zote ni full utapeli
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,150
2,000
Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho.

Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi either by HOOKS or by CROOKS. Hili lilikuwa apizo la Magufuli na wenzake na walilifanya kwa ushamba na ujinga wa viwango vyote vya ujinga duniani.

Kwa waliopoteza kumbukumbu, jimbo la HAI ndilo lilikuwa jimbo la kwanza kutoa matokeo ya uchaguzi takribani masaa yasiyozidi 8 baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa ile saa 10:00 jioni ya tarehe 28/10/2020.

Kwa teknolojia ya uhesabuji kura ktk vituo vya kupigia kura, kujaza fomu mbalimbali, compilation ya matokeo ngazi ya kata na jimbo ili kumpata mshindi wa udiwani na mbunge na kwa kuzingatia jiografia ya majimbo yetu ya uchaguzi yote Tanzania mtu anaweza kuona ugumu wa kuikamilisha kazi hiyo ktk interval ya masaa takribani 9 au 10 tu katika ngazi ya jimbo.

Bahati njema mimi nilikuwa mmoja wa maafisa wa uchaguzi huu nikiwa mwajiriwa ndani ya serikali, nikipewa jukumu hili pia.

Katika eneo nililosimamia mimi, kituo cha mwisho kuleta matokeo wilayani (jimboni) ili kufanya majumuisho kumpata mshindi wa ubunge ilikuwa ni saa 2asb kesho yake yani 29/10/2020!

Kwa kawaida, baada ya kituo cha kupigia kura kufungwa saa 10:00 jioni, uwezekano wa mtu wa mwisho kupiga kura inaweza kuwa kati ya saa 1 hadi 1.30 kutegemea na kituo na idadi ya wapiga waliokuwepo kabla ya saa 10 jioni. Hii maana yake mtu wa mwisho alipiga kura saa 11:30jioni kabla ya kuanza kuhesabu.

Kuna vituo vingine zoezi la kuhesabu kura, kubishana na mawakala na kutatua migogoro inayojitokeza na kujaza fomu mbalimbali ikiwemo ya taarifa ya kituo lilikwenda hadi saa 4usiku.

Baada ya hapo kwa kawaida msimamizi wa kituo cha kupigia kura hubeba masanduku ya kura na matokeo hadi makao makuu ya kata ili kufanya majumuisho ili kumpata mshindi wa udiwani na kumtangaza.

Baada ya hapo msimamizi wa kituo cha kupigia kura wakiambatana na msimamizi msaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata hubeba masanduku ya kura, matokeo ya kura za ubunge na urais hadi jimboni/wilayani kwenda kufanya majumuisho ya kura za ubunge na Urais..

Likifanyika hili, mshindi wa ubunge hutangazwa na kisha msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hutuma NEC matokeo ya kura za urais za jimbo...

Je, haya yalifanyika pale Hai katika interval ya masaa machache vile? How exactly?..

Na pengine tujaribu kujiuliza HAI, Kilimanjaro jiogarafia ya jimbo hilo ikoje? Walitumia teknolojia gani kiasi ambacho ndani ya masaa 8 tu baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa wakawa wamepata matokeo sahihi ya kila kituo na kuwatangaza wasindi wa udiwani na ubunge?

Mimi nasema, ni uongo. Haiwezekani abadani unless matokeo yawe yalikuwa yakitumwa kutoka vituo vya kupigia kura kwa njia ya mtandao wa computer!

Matokeo ya kawaida ya majimbo - ubunge japo na yenyewe ni wizi mtupu yalianza kutangazwa kesho yake ya tarehe 29/10/2020 kuanzia ingalau saa 6mch..

Ni wazi bila shaka kulikuwa na matokeo mengine "fake" tofauti na matokeo halisi yaliyotumika kutangaza washindi.

Mkuu wasimamizi wa Mbowe kwa nini walisign kukubali matokeo? Au wamegoma?

Ukijibu hili futa thread hii
 
Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,321

Tuondoleeni ulalamishi wenu wa kitoto hapo. Mmeshindwa mchana kweupe. Hatukuwapigia kura mfahamu.
 
Rugaijamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2010
2,940
2,000
unahisi taarifa hii itabadilisha maamuzi na kwamba mbowe wako ashinde ??? Nini faida ya uzi wako wakati huu?? Au unawafariji wenzako mkuu???

AchAna na mambo ya uchaguz yamepit.. chapa kazi tuijenge nchi
IMG_20200612_210346.jpg
IMG_20200612_210346.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom