Carolight kwa mademu

Swager

Member
Sep 14, 2011
55
9
Siku hiz kila demu ye na carolight hv amjui izo carolight zna madhara kwny body cell zenu kwann uclizike na uweusi uliopewaa,uweupe hauna dili demu hapendwi uweupe...carolight zna harufu mbyaa bt xory n ma x galfrnd n memtoxa coz ya dat..kipodozi..
 
hebu tuacheni bana, kila kukicha wanawake wanawake... tumechoka.
 
huu msemo wa carolight unanikumbusha mbali.namkumbuka shost wangu mmoja,mtumiaji mzuri tu,huchanganya na maji yake,nilimuambia sio vizuri, kutumia hivyo vitu lakini hasikii kabisa,tena huletewa na mume wake,huifata congo.kuna mama namfahamu alikuwa akitumia ma cream,tangu sisi wadogo,kuna siku nimemuona,ngozi yake imekuwa mbaya mno.akaniambia amejuta kujichubua.kwa sasa anapaka mafuta ya kupikia mwilini mwake
 
Siku hiz kila demu ye na carolight hv amjui izo carolight zna madhara kwny body cell zenu kwann uclizike na uweusi uliopewaa,uweupe hauna dili demu hapendwi uweupe...carolight zna harufu mbyaa bt xory n ma x galfrnd n memtoxa coz ya dat..kipodozi..
<br />
<br />
Embu tuambie, kwani ni mademu tu ndo wanaopaka carolight? Hivi wanaopaka hiyo carolight ni weusi tu kama unavyojua wewe? Haya kwakuwa umeamua kumtosa girlfriend wako kwa sababu ya carolight, unaweza kutuhakikishia kuwa hutokuwa na demu mwingine kwa sababu umeshasema siku hizi mademu lazima watumie carolight? Jibu tafadhali!
 
Nimefungua kusoma huu uzi ili nijue hiyo carolight ni nini. Maana kila mtandao nasikia hilo jina.

Kama ni dawa ya kujichubua na mimi nakubali kuwa kujichubua ni ushamba. Siku hizi wanawake wengi wameelimika wameacha mambo ya kujichuna ngozi. Ushawahi kutana na mtu kajichubua afu kapigwa na jua? Yani ngozi inakuwa na mabaka mabaka kama kenge. Majuto yanakuwa mjukuu.

Nadhani kuna wanaojuta maana unakutana na mtu mpaka unaona aibu kumwangalia usoni atasema unamcheka.
 
Back
Top Bottom