Carlo ancelotti atua Madrid

Mnyuke junior

Member
Jun 1, 2021
19
15
Kocha carlo ancelotti ameondoka EVERTON FC ya nchini uingereza na kujiunga na miamba ya soka ya nchini uhispania REAL MADRID mkataba umesainiwa mpaka mwaka 2024.
===

1622618901644.png
REAL MADRID YAMTANGAZA ANCELOTTI KUWA KOCHA WAKE
Carlo Ancelotti, aliyejiunga Everton kwa miaka minne na nusu Desemba 2019 amewashukuru Wakurugenzi, Wachezaji na Mashabiki

Amejiunga na Madrid kwa mkataba wa miaka 3 kufuatia kujiuzulu kwa Zinedine Zidane
 
September 2020: James Rodriguez leaves Real Madrid for Everton to work with Carlo Ancelotti.

June 2021: Ancelotti leaves Everton to manage Real Madrid 🙃
Quote Reply
 
Nimeshangaa kaacha mshahara wa million 11 Everton kaja Madrid Kwa mshahara wa milioni 6..
 
Nimeshangaa kaacha mshahara wa million 11 Everton kaja Madrid Kwa mshahara wa milioni 6..
Ni rahisi zaidi kupata mataji akiwa Real Madrid kuliko Everton na kwa status ya Carlo Ancelloti pesa gani ambayo hana ?
 
Nimeshangaa kaacha mshahara wa million 11 Everton kaja Madrid Kwa mshahara wa milioni 6..

Labda kuna bonus za kutosha...

Pia wazungu hujali sana mafanikio, maana kwa Everton ameshindwa hata kuifanya icheze UCL pamoja na kwamba walisajili vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom