Huyu jamaa Madrid wamemuingiza mkenge?
alikuwa na uhakika wa kazi Madrid akatagaza kuacha PSG
sasa Madrid wanamchukua kocha wa Beyern naona
najiuliza huyu mzee ndo atakuwa kaingizwa mjini?
Huyu jamaa Madrid wamemuingiza mkenge?
alikuwa na uhakika wa kazi Madrid akatagaza kuacha PSG
sasa Madrid wanamchukua kocha wa Beyern naona
najiuliza huyu mzee ndo atakuwa kaingizwa mjini?
Hajaingizwa mkenge ila alikua ana uhakika jamaa watamwachia aende Madrid kwa sababu ana mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake ila waarabu wamekomaa nae.
The good thing about King Carlo, he is a gentleman, anaheshimu mkataba ndio maana hujaona akileta dramas ili wamruhusu aondoke in fact yeye ndio alikua chaguo la kwanza kwenda Madrid (in 2010) kabla hawajamuaproach Mou, ila baada ya Milan kugoma kumruhusu na Carlo kuwajibu Madrid kwamba ataheshimu mkataba wake na Milan ndio wakamfuata Mr.Talkative
ngoja nikuletee source uone..

Huyu kocha
JUPP HEYNCKES SAYS HE'LL TAKE A BREAK
June 4, 2013
MUNICH -- Veteran coach Jupp Heynckes bid a teary-eyed farewell from Bayern Munich after a historic season on Tuesday and said he has no plans to take over another team next season.
Heynckes said he needed a break after the eventful season in which he led Bayern to an unprecedented treble -- the Bundesliga championship, the German Cup and the Champions League.
Heynckes confirmed that he had been approached by clubs outside Germany, including "rich clubs where money plays no role." But the 68-year-old coach said he had no interest in another club at the moment -- although he stopped short of saying he was retiring.
Heynckes had been linked with Real Madrid, a former club he had also led to the Champions League title. He will be replaced by Pep Guardiola at Bayern.
Flanked by club chairman Karl-Heinz Rummenigge and the embattled president Uli Hoeness, Heynckes said he'd realized that at his age he needed more time to recover.
"I am telling you, I will first take a vacation," Heynckes said, adding that he did not want to use the word "final" when it comes to his career.
Huyo wa Bayern hana cha kumzidi Mourinho katika soka la Ulaya:
Amechukua UCL mara mbili: Akiwa Madrid 1998, na akiwa Bayern Munich 2013.
Mourinho amechukua UCL mara mbili: Akiwa Porto 2004, na akiwa Inter Milan 2010.
Carlo Ancelotti amechukua mara mbili pia: Akiwa AC Milan mwaka 2003, na mwaka 2007.
Wote sawa tu, inategemea unapenda nini?