CARINA Ti MPYA INAUZWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CARINA Ti MPYA INAUZWA

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bank, Sep 6, 2012.

 1. bank

  bank Senior Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari Wadau,
  Nauza carina TI,MPYA KABISA NDIO IMETOKA JAPAN IPO BANDARINI INASAJILIWA
  NI ya mwaka 1999, engine cc 1490, rangi ya silver,
  Automatic,
  Fuel ni Petrol,AC,POWER window

  Picha zake
  BF64439_21.jpg 2.jpg BF64439_28.jpg BF64439_3.jpg


  Bei ni milioni 11 tzs Iikiwa imeshasajiliwa kabisa.

  Kama unahitaji piga 0657 77 26 83
   
 2. Mauza uza

  Mauza uza JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 2,042
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  gari ya mwaka 1999 haiwezi ikawa mpya ..labda mpya ilipokanyaga ardhi ya bongo but kimajuu hio scrap!!inatakiwa kuwa kwenye salvage system....umenielewa!! na kwa bei hio ni too expensive unaweza kujadiliana na mm kuanzia 8m sawa.
   
Loading...