duuh kaka hiyo bei ya Toyota passo.au Vitz ongeza hela mkuuHabari wakuu, mwenye gari tajwa hapo juu na anaiuza basi awasiliane nami, budjet yangu ni 6m, iwe katika hali nzuri na haijawah kupata ajali, hela ipo cash, biashara leo leo. namba ikiwa B itakuwa poa zaid.
Habari wakuu, mwenye gari tajwa hapo juu na anaiuza basi awasiliane nami, budjet yangu ni 6m, iwe katika hali nzuri na haijawah kupata ajali, hela ipo cash, biashara leo leo. namba ikiwa B itakuwa poa zaid.
Mkuu Ungemwona Zitto anayo ni moja ya gari zake kati ya gari mbili tu alizonzonazo anatembelea jimboni.
Mkuu Ungemwona Zitto anayo ni moja ya gari zake kati ya gari mbili tu alizonzonazo anatembelea jimboni.