Careerist political prostitute(nimeshidwa kutafsiri kiswahili)

Happy nation

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
679
591
careerist political prostitutes,kuna viongozi wengi sana sasa hivi wanaangukia katika category hii,ningependa sana wanajamvi mnisaidie kutafsiri kiswahili neno hilo,tunaona viongozi wengi wakijivua utu ili kumridhisha mheshimiwa.naombeni sana tafsiri sahihi.
 
Hata mimi tafsiri yake sahihi siifaham ila jamaa yangu aliwahi kuniambia "...politics is worse than prostitute..."
 
Kazi ya siasa ni umalaya mtupu unahitaji kubwekewa na madhehebu yote hususan lile la pengo.
 
Kazi ya uwanasiasa ni kama umalaya, ili upate soko unabidi uongee sana, na ktk siasa ili upendwe na wengi lazima uongee sana hata kama uongo
 
Back
Top Bottom