Career women: Nisaidieni katika hili

Kama hujaoa au kuolewa ishu ya distance unaweza kuichukulia poa, lakini once you are in it, weeeee!! ni sababu kubwa sana ya cheating (from human perspective), dota wako Heaven Sent kaishaelewa why am saying human perspective, mtoto kwa miakili huyu, loh!
 
Du, too hot lkn kwann walioana in the first place,

Ushauri: Familia kiujumla na kibusara ni Mama, kama Mama anakosa muda wa kutosha na familia yake then kuna possibility kubwa sana kwa familia kutokuwa stable, kwa mfano, hapo tyr mtt amepelekwa boarding katika umri mdogo sana meaning kwamba anakosa malezi muhimu ya wazazi ya kwanza, ambao walipaswa kuset life tone ya mtoto wao. Kama huyo Baba ana a stable income flow, wapange muda ambao, kwa pamoja utawatosha kuanzisha miradi itakayosimamiwa na Mama ili aje na awe flexible enough kuwa karibu na familia yake.

Basically, mwanaume anapomuoa mwanamke anajitwika jukumu la kuprovide kwa mahitaji ya mkewe na familia kwa ujumla, including ndugu wa mwanamke e.g wazazi na wategemezi wake, mwanamke ni kutoa support tu. Msimamizi mkuu wa familia, kiasili, tangu uumbaji ni mwanamke, mwanaume ni mpiganaji kuprovide for that family. Na ndo maana, mimba inabebwa na mwanamke na sio mwanaume, BUT mwanamume unapigana ili kuitunga mimba hiyo, so pigana endelea kupigana mwanaume.

Shida ni kwamba viumbe wa leo hawaishi majukumu yao kikamilifu, na ndo tunawapata wanaume wanaopenda kulelewa n.k

Kitakachotokea kwa familia hiyo ni kuchoka kwa huyo baba na kutafuta love and care from other women unless ni mwenye busara nyingi sana kuvumilia, ambapo hatujui ni mpaka lini, pesa hizi zipo lakini cha muhimu Zaidi ni maisha na upendo katika familia. Na ndo maana, zipo familia zenye kipato cha elfu 40 kwa mwezi na wanaishi maisha ya upendo mwingi, na zenye kipato cha miln 10 kwa mwezi lkn maisha ni shida na vita sana, it ol comes from situations za namna hii.

Nawasilisha
 
haha tafadhali na chogo langu, linazidi kuongezeka kwa hayo masifa. Afu najisikia kama kukusurprise hivi
 
Shukran.
 
Kwa ushauri WA haraka hiyo ndoa inahitaji maombi na wanandoa ni wakati wa kumjua Mungu haswa la sivyo huo ndio mlango WA shetani kuivuruga taasisi hiyo...hakuna cha trust wala love ni Yesu tu...
 
I completely agree ile idea kwamba once you are married, mke unaanza kuishi vision ya mume wako. So far kuna categories 3 za successful women
1. Ambao hawajaolewa kabisa
2. Ambao walifanikiwa kabla ya kuolewa
3. Ambao waliolewa afu wakaachika

Kwa hiyo, my dear girls haka kamuda ambako bado unamsubiri Boaz wako, ndo muda wa kuiishi vision yako. Once ukiolewa kuna high possibility ya kuishi vision ya mume wako, of coz family comes first

Niliexperience hiki kitu ingawa ilikuwa tofauti kidogo, mzee wangu nature ya kazi yake Ilikuwa inamruhusu kuhama frequently, wakati mama alikuwa amesettle sehemu moja .At first tulikaa na mama afu every weekend baba akawa anakuja (wilayani na mkoani). But it reached a stage uhamisho ukawa wa mbali, baba akasema I can't stay away from my family, kokote nitakapoenda mama HS utanifuata (haha siku hiyo anamtania mama, wewe kataa kwenda na mimi utanikuta me nishaoa huko tayari haha R.I.P pops). Kama hela nayoitafuta hainiruhusu kuwa karibu na familia yangu, basi siitaki haina maana. So my mom ndo akawa alipo mumewe na yeye yupo, alijiajiri ingawa kuna muda sasa biashara zake zenyewe zikawa zinaishia njiani, kidogo tu uhamisho huoo. Watakapohamia ndo atajua huko huko cha kufanya . Na biashara za kusafiri uache watoto, mzee aligoma kabisa.

And somehow iliaffect pia nature ya usomaji wetu, maana kuna kila baada ya muda inabidi uhame shule, uende ukasome walipo wazazi woii. Hiyo ya baba kubaki na kulea watoto wakati mama yupo ndo siipatii picha kabisa, and siisupport honestly, labda mama ndo angekuwa na watoto afu baba anawavisit after muda fulani. So naelewa a wife has to live her hubby's vision, but at the same time I want to be a married successful woman AF
U r always right HS...

Tuishi vision za waume zetu..... Safi sana
 
Im a director in one of the companies.. I got my second child nikiwa director. Na Sasa hivi nina mimba nyingine..
Nilichokifanya kwangu mimi Ni kutengeneza systems na kuhakikisha I have good team under me, equip and coach them...and so safari Ndogo Ndogo they can go..
Mtoto akiwa Mchanga huwa nasafiri naye pale ninapopaswa
Kusafiri.. Maana watoto wangu ni lazima wanyonye exclusively for six month..
All in all wakati mwingine inategemea na mwajiri wako ila kuna wakati inabidi uwe mjeuri kidogo Maana Sheria Za Kazi zinakulinda pia Kama mwanamke..
Kuna wakati huwa Nakesha kufanya Kazi ili kumeet deadlines, na wakati mwingine nitatoka on time kuhakikisha Majukumu yangu Kama Mke na mama ninayafanya then watu wote wakishalala naanza kupiga Kazi nilizozibeba..
Proper planning, supporting husband + knowing how to delegate zinaweza kusaidia saana tu..
Nimekupenda bure wallah
 
Hapo cha kwanza ni love, pili trust, tatu ni commitment to each other, unakuwa mbali na nyumbani kama love ipo mtapigiana simu na pia mtaaminiana, cha tatu uliesafiri unajua kuwa unafanya vile kwaajili ya familia na aliye nyumbani hali kadhalika.
True!
 
Duuuh!! Kwanza mwanamke kuhamia aliko mume ni ngumu kidogo maybe itachukua muda sana maana kahamishiwa mkoa tofauti miezi mitano iliyopita baada ya kupandishwa cheo.

Hiyo ya kufanya kazi za nyumbani kabla ya kwenda kazini ni ngumu maana mtu anayeondoka nyumbani saa 11asubuhi ili afanye hizo kazi ataamka saa ngapi?
Maybe kwa wale wanaoishi maeneo yasiyo na jam.

hapo pa kuishi kizungu eti tuwazoeshe hadi karne ijayo, why msijizoeshe wenyewe maana mambo na nyakati zimebadilika?
Hii ni karne ya 21 so tuache mambo ya kizamani...
Hii mentality ya kazi lazima kuajiriwa imetulemaza sana na itaendelea kututafuna !

Having said that, kwa nn kama mama ana cheo kizuri kikubwa basi mme asimfuate- whether anahama kikazi kama yupo employed au aache kazi then akifika huko ajiajiri ?

Kwa maelezo haya, mtoto boarding ina maana baba kabaki na housegirl ?

Na huko alikohamia mama ni wapi mpaka aamke saa 11 kwenda kazini ?

Unless ni zile promo za kuhamishiwa mahali na mtu ili wabanjuane vizri maana zipo hizi na unakuta mke anakuja na viingizio kibao ili mme abaki huko huko !!

Sioni usue kabisa hapa !!
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom